Majukumu kwenye jamii yanabebwa na wanaume, wanaume ni wahudumiaji, sisi ni watafuta solution za matatizo za jamii. Lazima vichwa vipate motoWakuu...
Mbona wanaume ndio wengi waliochanyanyikiwa huku mtaani, yaani wale ambao hawajielewi....
Hadi wanafikia hatua ya kutembea naked.
Ukicompare na wanawake!
kuna vitu ambavyo haviepukiki kama kuchaganyikiwa kwa mwanaume sababu ya majukum.Hahahhhh mtu mwenye akili akitaka kujenga nyumba, hukaa china na kupiga gharama zote, asije akaanza halafu akaishia njiani watu wakamcheka...
Nilikutukana 😂💔binti kiziwi Mods naona wamefuta comment yako!
Kwa kawaida kwenye jamii zilizokuwa nyingi mwanamume ndio kiongozi.....Maisha kwa ujumla
Wakati mwingine inakuhitaji kuwa mwanamume ili kuyajua ya kiume kwani mambo yanabebana na uanamume wenyewe kama asili....Mnajitakiaga tu, kwani mtu ukienda
kazini, ukarudi nyumbani, ukaenda kwa washkaji, ukaspend time na familia yako, ukafanya madeal mawili matatu utachanganyikiwa na nini?
Focus.
Duh... na huku kuna jamaa flani hua anapita ana wabusu wanawake tu! hata kama ni mbibi hana hili wala lile atafanyiwa mmmmwaaaaa!!! halafu anakimbia...Kipindi tunasoma secondary tulichelewaga shule tukapewa adhabu ya kufanya usafi nyuma ya shule mara akapita mwanaume alkua na baskel alivotuona akashuka akasogea karibu na sisi akashusha kaptula akatoa sehem zake za siri nje na sabun akaanza kujisugua mbele yetu Huku anatuangalia sijui alkua karogwa yalikuwa maajabu