Kwa nini wanaume waliochanganyikiwa ni wengi kuliko wanawake!

Nyumban wife anakuloga,

kazin wafanyakazi wenzako wanakuloga ili ufukuzwe kazi wachukuwe nafas yako,

mwenye baa kakuloga ili kila siku ukanunue bia

Ndugu zako wanakuloga ili uwatumie pesa kila mwisho wa mwezi...

Kijijini kwenu wanakuloga ili husifanikiwe...

Lazima uchanganyikiwe.
 
Dah kipindi niko kadogo dogo kuna rafiki zangu walikuja kunishitua oyaah... kuna crazy maeneo ya bodaboda yuko naked ni mwanamke...

Nilitoka mbiombio kwenda kushuhudia....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…