Kwa nini wanaume waliochanganyikiwa ni wengi kuliko wanawake!

Ni Kwa sababu Mwanaume kabebeshwa kichwani kwake majukumu ya familiya yotee pamoja na matarajio ya kesho....mwisho wa siku mwamba anafikiria kuyatimiza mpaka anachoka akili na mwisho kudata...endapo hatakosa mtu wa kumsaidia anapitiliza
 
Dah kipindi niko kadogo dogo kuna rafiki zangu walikuja kunishitua oyaah... kuna crazy maeneo ya bodaboda yuko naked ni mwanamke...

Nilitoka mbiombio kwenda kushuhudia....
Ulifanikiwa kuiona punani?
 
Bado kamchepuko nako kanakuloga 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…