binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 16,966 Reaction score 47,296 Oct 18, 2026 #61 KikulachoChako said: Wakati mwingine inakuhitaji kuwa mwanamume ili kuyajua ya kiume kwani mambo yanabebana na uanamume wenyewe kama asili.... Click to expand... Yakija mambo ya wanawake uweke hii comment pia, Last time i checked ninyi ndio huwa wasemaji wetu humu π
KikulachoChako said: Wakati mwingine inakuhitaji kuwa mwanamume ili kuyajua ya kiume kwani mambo yanabebana na uanamume wenyewe kama asili.... Click to expand... Yakija mambo ya wanawake uweke hii comment pia, Last time i checked ninyi ndio huwa wasemaji wetu humu π
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 20,118 Reaction score 40,850 Oct 18, 2026 #62 binti kiziwi said: Yakija mambo ya wanawake uweke hii comment pia, Last time i checked ninyi ndio huwa wasemaji wetu humu π Click to expand... Kuna mambo general yanayoleta mjadala wa pamoja na kuna yanayogusa jinsia moja kwa moja.... Ndio maana wanawake hawaendi jandoni na wanaume hawaendi unyagoni.....
binti kiziwi said: Yakija mambo ya wanawake uweke hii comment pia, Last time i checked ninyi ndio huwa wasemaji wetu humu π Click to expand... Kuna mambo general yanayoleta mjadala wa pamoja na kuna yanayogusa jinsia moja kwa moja.... Ndio maana wanawake hawaendi jandoni na wanaume hawaendi unyagoni.....