Kwa nini wanaume wenye maisha duni ya kawaida wanajali sana bikira?

Mahali popote ulikuta wanaume wanajali mwanamke wa kuoa kama mwanamke ni bikira au single mother basi utakuta na wanaume masikini, wa kawaida(average/ beta males) au wa Bara.

Ni nadra kukuta wanaume wenye maisha mazuri, matajiri, mabilionea, maarufu au wanaume wa Pwani wanajali kama mwanamke bikira na single mothers.
Maskini furaha yake ni sex, tajiri "sex na hela" .
Maskini sehemu zozote na muda wote wanafanya sex ndio maana Taandale, Sinza, Magomeni , Kigogo kuna "gesti nyingi" kuliko wasafiri au wagenni.
 
Sifa ya kwanza na kubwa kwa Mwanamke ili aolewe kwa mfalme ni bikra, hilo liko tangu enzi haya labda utuambie wafalme walikuwa masikini wasiojiweza

Hoja ya wanaume siku hizi kutoona umuhimu wa Mwanamke bikira ni kwasababu ya urahisi yaani kupata Mwanamke kirahisi, ijulikane Mwanamke bikira hawezi kuuza bikira yake kwa sababu anapewa pesa hawana, waulize wanawake wakuambie, walitolewa bikra kwa wanaume waliowapenda, waliwathamini na kuwaheshimu vile tu hao wanaume hawakutambua hiyo thamani na heshima wakaamua kuwachezea na kuwaacha

Waulize tena wanawake walipotolewa bikra na kuachwa kama hawakulia kwa uchungu, sababu ni kupoteza kitu cha thamani kwa mwanaume ambaye hakuona hiyo thamani, Mwanamke asiyena na bikira ni rahisi sana kuliwa kikubwa utengeneze mazingira, maana hana cha kupoteza tena, anakibana kwa sababu gani? Hana sababu ya kujibana tena tofauti na awali

Sasa hivi ukiwa na mpenzi hutasikia akisema eti tusifanye mpaka tufunge ndoa thubutu! Mwanamke mwenye bikira onyo lake la kwanza akikukubalia ni hilo, kaa na wanawake wakuambie ukweli
 
Mahali popote ulikuta wanaume wanajali mwanamke wa kuoa kama mwanamke ni bikira au single mother basi utakuta na wanaume masikini, wa kawaida(average/ beta males) au wa Bara.

Ni nadra kukuta wanaume wenye maisha mazuri, matajiri, mabilionea, maarufu au wanaume wa Pwani wanajali kama mwanamke bikira na single mothers.
Inaonekana ujawahi kukutana na Bikra uwezi kuelewa!haya mambo
 
Nyie wanawake hakuna mtu anaewakatalia kuweka option ya kutaka bwana alie na pesa

Kwa nini muhukumu mwanaume mwenye priority hii ya kutaka mdada alie bikra?

Hadi mnawaita masikini, aisee mantic sio ya kila mtu😁
Umeiweka poa sana hii mkuu,,akili kubwa,.wanataka wao vipaumbele vyao vizingatiwe lakini vyakwetu tatizo.
 
Mahali popote ulikuta wanaume wanajali mwanamke wa kuoa kama mwanamke ni bikira au single mother basi utakuta na wanaume masikini, wa kawaida(average/ beta males) au wa Bara.

Ni nadra kukuta wanaume wenye maisha mazuri, matajiri, mabilionea, maarufu au wanaume wa Pwani wanajali kama mwanamke bikira na single mothers.
Sehemu pekee ambayo mwanaume masikini anajisikia mfalme ni kwa mke wake, sasa ili apate full control inabidi kusiwe na ushindani wa aina yoyote wala kulinganishwa na yoyote, hapa ndipo bikira zinapokuwa na umuhimu kwenye hili kundi.
 
Sifa ya kwanza na kubwa kwa Mwanamke ili aolewe kwa mfalme ni bikra, hilo liko tangu enzi haya labda utuambie wafalme walikuwa masikini wasiojiweza

Hoja ya wanaume siku hizi kutoona umuhimu wa Mwanamke bikira ni kwasababu ya urahisi yaani kupata Mwanamke kirahisi, ijulikane Mwanamke bikira hawezi kuuza bikira yake kwa sababu anapewa pesa hawana, waulize wanawake wakuambie, walitolewa bikra kwa wanaume waliowapenda, waliwathamini na kuwaheshimu vile tu hao wanaume hawakutambua hiyo thamani na heshima wakaamua kuwachezea na kuwaacha

Waulize tena wanawake walipotolewa bikra na kuachwa kama hawakulia kwa uchungu, sababu ni kupoteza kitu cha thamani kwa mwanaume ambaye hakuona hiyo thamani, Mwanamke asiyena na bikira ni rahisi sana kuliwa kikubwa utengeneze mazingira, maana hana cha kupoteza tena, anakibana kwa sababu gani? Hana sababu ya kujibana tena tofauti na awali

Sasa hivi ukiwa na mpenzi hutasikia akisema eti tusifanye mpaka tufunge ndoa thubutu! Mwanamke mwenye bikira onyo lake la kwanza akikukubalia ni hilo, kaa na wanawake wakuambie ukweli
WAsio na bikra wasiolewe?

Wapo wanawake wengi tu, hana bikra , maana wengi hutolewa sikukuu za Eid na mauli ndio wanafanya sana sex , then utasemaje ni mchafu, anatolewa siku moja ila harudii tena mpaka ndoa.

Wapo unaoa bikra, upo honeymoon unapigiwa na boda boda anayewafanyia delivery.
 
Kumbe! Naanza kuelewa sasa.
 
Nyie wanawake hakuna mtu anaewakatalia kuweka option ya kutaka bwana alie na pesa

Kwa nini muhukumu mwanaume mwenye priority hii ya kutaka mdada alie bikra?

Hadi mnawaita masikini, aisee mantic sio ya kila mtu😁
Kwa % kubwa yupo sahihi mleta mada.

Sio kutaka bikira tu ni sifa ya kundi la watu tulio masikini, hata drama za mahusiano tunazo sisi zaidi kuliko waliojipata. Nadhani fedha inasukuma ubongo kupuuza drama zisizoongeza fedha unakosa muda wa kujali kuhusu mapenzi na ndo maana ukipata mwanamke mjinga atagawa hata kwa houseboy kwa kisingizio kuwa huna muda nae.
 
Sifa ya kwanza na kubwa kwa Mwanamke ili aolewe kwa mfalme ni bikra, hilo liko tangu enzi haya labda utuambie wafalme walikuwa masikini wasiojiweza

Hoja ya wanaume siku hizi kutoona umuhimu wa Mwanamke bikira ni kwasababu ya urahisi yaani kupata Mwanamke kirahisi, ijulikane Mwanamke bikira hawezi kuuza bikira yake kwa sababu anapewa pesa hawana, waulize wanawake wakuambie, walitolewa bikra kwa wanaume waliowapenda, waliwathamini na kuwaheshimu vile tu hao wanaume hawakutambua hiyo thamani na heshima wakaamua kuwachezea na kuwaacha

Waulize tena wanawake walipotolewa bikra na kuachwa kama hawakulia kwa uchungu, sababu ni kupoteza kitu cha thamani kwa mwanaume ambaye hakuona hiyo thamani, Mwanamke asiyena na bikira ni rahisi sana kuliwa kikubwa utengeneze mazingira, maana hana cha kupoteza tena, anakibana kwa sababu gani? Hana sababu ya kujibana tena tofauti na awali

Sasa hivi ukiwa na mpenzi hutasikia akisema eti tusifanye mpaka tufunge ndoa thubutu! Mwanamke mwenye bikira onyo lake la kwanza akikukubalia ni hilo, kaa na wanawake wakuambie ukweli
% kubwa ya mwanamke kutoa ngono kwa mara ya kwanza ni mapenzi kwa mhusika, kuhemka na kuchemka kwa mwili sababu ya kuvunja ungo, yaani akishikwa tu anachemka, ujinga kulingana na umri au uwezo mdogo wa kufikiri na shida zinazotokana na umasikini.
 
Matajiri waliyopo kwenye jamii yetu hawafiki hata 3% ya watu wote. Kwahiyo wenye maisha duni na average ndio wapo wengi. Obvious idadi yao itakua kubwa kwenye kila kitu.

Sio bikira tu, ukiongelea vipaji vya mziki, vipaji vya mpira, akili, vilaza n.k kundi kubwa zaidi litatoka kwa hao duni na average kwa sababu ya idadi yao. Pool ya 3% ni ngumu kutoa watu wengi zaidi ya pool wenye 97% ya watu.
 
Mahali popote ukikuta wanaume wanajali mwanamke wa kuoa kama mwanamke ni bikira au single mother basi utakuta na wanaume masikini, wa kawaida(average/ beta males) au wa Bara.

Ni nadra kukuta wanaume wenye maisha mazuri, matajiri, mabilionea, maarufu au wanaume wa Pwani wanajali kama mwanamke bikira na single mothers.
wamepata chaka la kujifichia. Ila Mwanamke bikra ukimtoa bikra na mkaja achana vizuri kwa amani na upendo, mda wowote hata kama kaolewa unajipasulia yai..
 
WAsio na bikra wasiolewe?

Wapo wanawake wengi tu, hana bikra , maana wengi hutolewa sikukuu za Eid na mauli ndio wanafanya sana sex , then utasemaje ni mchafu, anatolewa siku moja ila harudii tena mpaka ndoa.

Wapo unaoa bikra, upo honeymoon unapigiwa na boda boda anayewafanyia delivery.
Wasio na bikira hawakuwa hawaolewi, na ndio maana walikuwa wanajifunza, sasa hivi limekuwa ni rahisi tu wanaolewa ndio maana hawaoni umuhimu wa kutunza , ila bikira kwa Mwanamke itabaki kwenye thamani ile ile

Si maana nimekuambia saizi thamani ya Mwanamke imeshuka na umetoa ushuhuda kuwa mko honeymoon bado Mwanamke analiwa na boda boda, shida si iko kwa Mwanamke huyo huyo hana cha kupoteza
 
% kubwa ya mwanamke kutoa ngono kwa mara ya kwanza ni mapenzi kwa mhusika, kuhemka na kuchemka kwa mwili sababu ya kuvunja ungo, yaani akishikwa tu anachemka, ujinga kulingana na umri au uwezo mdogo wa kufikiri na shida zinazotokana na umasikini.
Hapana kweli
 
Nadhani ni kwasababu wengi hawakuwa na fursa ya kuchezea vitoto vya watu na wao hawataki vilivyochezewa.
 
Nyie mnataka mwanaume mwenye pesa, wao wanataka bikira. Kila mtu apambane na hali yake.
 
Back
Top Bottom