Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
o, wanaume mnaamini kama hamjatukuta bikra, kuna siku tutakumbukia waliotutoa?Sehemu pekee ambayo mwanaume masikini anajisikia mfalme ni kwa mke wake, sasa ili apate full control inabidi kusiwe na ushindani wa aina yoyote wala kulinganishwa na yoyote, hapa ndipo bikira zinapokuwa na umuhimu kwenye hili kundi.
Tuwaombee yasiwakute wakajinyonga au kusababisha maafa, wasivyo na upeo huamini bikra hawatagawa vipochi manyoya milele kumbe ni muda tu huamua.Kuchaapiwa hakuepukiki.
Nailed it.Sasa nyi wa pwani dadako anachezwa ngoma anaolewa leo anaachika kesho anazalia home,anamsaidia mzazi majukumu ya chakula...utajali nini?
GGSamahani we ni ke au me?
Hakuna Ke yeyote anayeweza kumdindia Me akitongozwa ila huwa tunawekeana mipaka kiheshima.wamepata chaka la kujifichia. Ila Mwanamke bikra ukimtoa bikra na mkaja achana vizuri kwa amani na upendo, mda wowote hata kama kaolewa unajipasulia yai..
Watu waliowahi kuvuana nguo wakapeana wanapowasiliana hakuhitajiki nguvu kubwa kuamsha chemistry iliyozikwa. Hii sio nadharia, ipo hivyo tu, huwa haitumiki nguvu kushiriki tendo na wanawake ambao tayari mlishawahi kufurahia tendo pamoja.o, wanaume mnaamini kama hamjatukuta bikra, kuna siku tutakumbukia waliotutoa?
Walio De-flower?
Hii mbona wala haihitaji research. Ni issue ya feelings ya power na authority ambayo mwanaume anahitaji.Hii research yako umeifanyia wapi ukathibitisha hoja yako?
Ke yoyote eeh ?Hakuna Ke yeyote anayeweza kumdindia Me akitongozwa ila huwa tunawekeana mipaka kiheshima.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Hahaha!! Money has already given you value you no longer need to make excuses from a poverty mindset.Hii mbona wala haihitaji research. Ni issue ya feelings ya power na authority ambayo mwanaume anahitaji.
Mfano, wanawake wenye maumbile mazuri hata kama ni single mother wana soko kwa wenye fedha, why?
Sababu ni kuwa wanaume wenye pesa hawaitaji illusion ya kuwa ana power kupitia mwanamke wake, pesa inawapa actual feelings ya hiyo power Ila masikini hiyo feelings anaipata kupitia mke.
Ukweli mchungu, tena mwenye pesa halafu aamue anamtaka mke wako na wewe ni kapuku? Anamfundisha sijui kuendesha G wagon? Hapo huna chako, anaolewa kabla hujatoa Talaka. Kinachosaidia huwa ni mwanaume anayemtaka anakuwa hana malengo marefu na mkeo.Hakuna Ke yeyote anayeweza kumdindia Me akitongozwa ila huwa tunawekeana mipaka kiheshima.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is wowork.
Kwa karne hii pesa ndo true power ya mwanaume.Hahaha!! Money has already given you value you no longer need to make excuses from a poverty mindset.
We sema tu umeoa single mama au ulioa ana bwawaMahali popote ukikuta wanaume wanajali mwanamke wa kuoa kama mwanamke ni bikira au single mother basi utakuta na wanaume masikini, wa kawaida(average/ beta males) au wa Bara.
Ni nadra kukuta wanaume wenye maisha mazuri, matajiri, mabilionea, maarufu au wanaume wa Pwani wanajali kama mwanamke bikira na single mothers.
Wewe umejuaje wanaume wote wana feelings hizo?Hii mbona wala haihitaji research. Ni issue ya feelings ya power na authority ambayo mwanaume anahitaji.
Mfano, wanawake wenye maumbile mazuri hata kama ni single mother wana soko kwa wenye fedha, why?
Sababu ni kuwa wanaume wenye pesa hawaitaji illusion ya kuwa ana power kupitia mwanamke wake, pesa inawapa actual feelings ya hiyo power Ila masikini hiyo feelings anaipata kupitia mke.
Wapuuzi tuu hao wao ndiyo waharibifu wa bikira hizo, halafu dk kumi wanataka bikra kwakuwa wanawake wanahitaji helaTuwaombee yasiwakute wakajinyonga au kusababisha maafa, wasivyo na upeo huamini bikra hawatagawa vipochi manyoya milele kumbe ni muda tu huamua.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Nasahihisha hapo.Wewe umejuaje wanaume wote wana feelings hizo?
Tunaomba uthibitisho
Sawa mkuu mim niko tofautiNasahihisha hapo.
wanaume ambao nimewashuhudia, ambao hawawakilishi wanaume dunia nzima pesa inawapa true feelings ya power, na wanaume tusio na pesa nyingi ambao nimewashuhudia ambao hatuwawakilishi wanaume dunia nzima, feeling ya power tunaipata kwa wake zetu.
Halafu kuna wanaume kundi unalolifahamu wewe ambalo silijui.