Kwa nini wanaume wenye maisha duni ya kawaida wanajali sana bikira?

Uo ndio Utajiri na heshima Yao ilipo
 
Reactions: Tsh
Sawa mkuu mim niko tofauti
Ila mimi bikra muhimu
Pesa ipo
Sawa sawa mkuu.

Mimi pesa kawaida sana au tuseme haipo Kivile, kwangu mimi tangu kubalehe bikira sawa, bwawa sawa, single mother sawa, nachojua ukigongwa huko nje nikajua nabadili gia kwenye option nyingine.
 
Mbona wengi wamelalamika au ndo maskin wenyeweπŸ˜‚πŸ˜‚
Halafu wala sio suala linalohitaji utetezi. It's normal, sina pesa, utajiri wangu ni mke wangu. Sijajua kwanini kujieleza kumekuwa kwingi.
 
Kwanza JF humu wote matajiri na huwa tunakigezo cha kuoa bikra.
sijui imekaaje hii!
 
Ila Mwanamke bikra ukimtoa bikra na mkaja achana vizuri kwa amani na upendo, mda wowote hata kama kaolewa unajipasulia yai..
Hicho ndo tunakataa hapa, kwa maana ukioa huyo, maana yake umeoa mke wa mtu siku akikutana na mmewe (wa kiroho) ni rahisi kupasuliwa. Mbaya unakuta wewe uliyemtoa kaolewa na mwingine na wewe umeoa aliyetolewa na mwingine, inauma ila ni ngoma droo. Mbaya zaidi uwe hujawahi kukutana nayo hapo inauma usipime, watu wakizungumzia lazima u criticize.
 
Siwezi kuoa MWANAMKE ambaye ameshanyonya uume wa wanaume kibao aje kuwa life partner wangu

Lakini pia maziwa yake zilizonyonywa na bodaboda na mtoto wangu aje kunyonya??
Never I will be the last
 
Kweli kabisa. Ila wengine tunajiheshimu mtu akishakuwa mpenzi au mke wa mtu ndio mpaka wenyewe huruhusiwi hata kumtamani
 
Siwezi kuoa MWANAMKE ambaye ameshanyonya mboo ya wanaume kibao aje kuwa life partner wangu

Lakini pia titi zake zilizonyonywa na bodaboda na mtoto wangu aje kunyonya??
Never I will be the last
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… raia banaa
 
Masikini anahitaji kitu purity Ili kiweze kumsaidia katika ulimwengu wa roho, matariji na watu wenye maisha mazuri ulimwengu wa roho washaupatia hawana cha kupoteza. lakini tujiulize kwanini hao wenye maisha mazuri na matajiri wake zao ni low profile kuanzia sura nk?. Ulimwengu una Siri nyingi sana.
 
Bikra ya mwanamke inampaje mwanaume utajiri na heshima?
Sijasema inampa utajili
Lakini nimesema ni utajili na heshima Kwake.

Kuna Tofauti kati ya mwanaume Alie oa mwanamke bikra na Mwanaume Alie oa mwanamke Alie tumika (Tofauti ya kimahusiano)

Hiyo Tofauti ya kimahusiano ndio inayo mpa heshima Mwanaume mpambanaji maskini akimuoa mwanamke Alie jitunza Vizuri bikra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…