Kwa nini wasukuma huwa wanapenda kukata matonge ya ugali ya aina hii wakiwa wanakula?

Kwa nini wasukuma huwa wanapenda kukata matonge ya ugali ya aina hii wakiwa wanakula?

Kwa sababu wanakula kwenye chombo kimoja watu wengi, huwabidi kuchukua ugali mkubwa kisha kuukata vipandepande ili kupunguza msongamano kwenye chombo wanachochugua ugali.
Kupunguza traffic jam 🤣🤣🤣
 
Safari ya kupeleka tonge mdomono haitakiwi kustishwa na kizuizi chochote lengo huwa ni tonge moja hayo mengine ni kwa ajili ya emergency ikitokea moja limeanguka bahati mbaya linalofuata linasogezwa mbele ndiyo maana huwa hayatowezwi yote kwenye mboga kwa wakati mmoja. Ikitokea safari ikaenda salama basi zilizobaki zitakuwa zinaenda moja baada ya nyingine
 
Mko poa?
Hivi kwanini wasukuma huwa wanakata matonge ya ugali ya aina hii,yani 3 in 1?
Kuna agenda yoyote ya siri?
View attachment 3408694
Jibril wa waislamu huyu hapa ndiyo alimtokea mud boy mapangoni na kumniga kolomeo ..sasa hivi analiniga taifa la tanganyika
 

Attachments

  • 20251113_220421.jpg
    20251113_220421.jpg
    56.6 KB · Views: 15
Back
Top Bottom