Hakuna Range Rover inayoikuta G-Wagon AMG V12 Biturbo kwenye Performance...Daah! Ila G Wagon V12 Bi turbo AMG inatisha sana! Sidhani kama Range Rover inakuta ule mziki?!
Mkuu unajua magari saana...Jeep ni gari kwa ajili ya off-road...
Japo Jeep Grand Cherokee imejengwa kwa luxury na off-road.
Hiyo ni Jeep Wrangler Rubicon Edition... Wanazitumia sana Jeshi la China.
Za kibabe sana mtu wangu.
Umeongea vyema mkuu..lexus ni luxury version ya toyota kuongezwa bei ni sawa sababu inaongezewa vitu kibao mfano alteza na lexus is 200....harrier na lexus rx 350 vivo hivo kwa landcruiser v8 na lexus lx 570
mtu kusema is 200 ni kama alteza kila kitu ni sawa but is 200 ni differ kidogo na altezza kuna baadh ya nchi kuwa na gari lina nembo ya toyota ni kama magari ya maskini hvo hawawezi nunua ndo mana waka introduce lexus ...
features za lexus u luxury mwngi
full ma camera mbele na nyuma
then zote ni auto (ndo u luxury wenyewe) hakuna kuchezesha kirungu.. leather seat nk
Huwa nazikubari sana hizi, zinaitwaje kweli?
Mkuu...Mkuu unajua magari saana...
Grand cheroke i thought ni adventure cars kama zilivyo discovery.
Discovery SUV
Cherokee
G-wagon
Range
Freelancer
Ni ndinga ambazo Ukiachilia mbali capability yao ila yanaheshima kwa body zao
Mkuu umenena, gri bado cjanunua ila rav4 ni ndoto yangu.Yote kwa yote.hunitoi kwenye Rav4 old model manual gear
Najua hilo lakini hizi gari zinashea the same platform, chassis pamoja na engine ukitoa interior design pamoja na shape ya nje. Underneath ni gari Ile Ile japo kuna baadhi ya lexus zina jitegemea.Lexus ni subsidiary ya Toyota. Wao wanatengeneza magari ya kufahari.Lexus is the luxury vehicle division of Japanese car maker Toyota.
Najua hilo lakini hizi gari zinashea the same platform, chassis pamoja na engine ukitoa interior design pamoja na shape ya nje. Underneath ni gari Ile Ile japo kuna baadhi ya lexus zina jitegemea.
Hiyo ni Dodge viper kama sikosei,,.Huwa nazikubari sana hizi, zinaitwaje kweli?
Kuna kitu inaitwa Range Rover Autobiography ni habari nyingine.
Nakubaliana na wewe Mkuu...Najua hilo lakini hizi gari zinashea the same platform, chassis pamoja na engine ukitoa interior design pamoja na shape ya nje. Underneath ni gari Ile Ile japo kuna baadhi ya lexus zina jitegemea.
Tena ina rangi ya njano babu yangu uyo alikuwa jambazi marekaniHammer dodoma nzma ipo moja hapa mjin
Yaani uwe na utajiri kama manji bakhresa au mo utumie escudo au vits LABDA WAKATI UNAPEWA HUO UTAJIRI ULIPEWA NA HAYO MASHARTI maana unatafuta hela za nini sasa kuna raha gani uwe tajiri kupindukia unagari bei sawa na pikipiki. labda mjasilia mali sawa sio tajiriMi nataka Rav4.hujaona kuna watu wana pesa chafu lakini wanatembelea Escudo.hujawahi ona?ni sawa na mwingine ana pesa lakini anavaaga makobazi hayana shepu,mwingine masikini lakini anapiga ngwasuma ya laki na20
Aisee nalionaga hilo, kumbe nigga alikua jambazi.Tena ina rangi ya njano babu yangu uyo alikuwa jambazi marekani
Huyu ni munyama
Is it Sub urban vehicle or sport utility vehicle? Just asking...Sport Utility Vehicles(SUVs) are hot right now...
Wabongo ndio hatuendi na ulimwengu uendavyo....
Rolls-Royce Wamezalisha Sedans tangu WWII lakini siku hizi SUVs zimekua dili... Mwaka huu wanazindua their first SUV Rolls-Royce Cullinan.
Bentley pia wamezalisha Sedans kwa miaka mingi... Mwaka jana walizindua their first SUV Bentley Bentayga.Ambayo ndio world fast SUV.
BMW mwaka huu wanazindua BMW X7 ili icompete na Range Rover... Na wameona SUVs ndio zina soko siku hizi.
Jaguar wamezindua Jaguar F-Pace mwaka huu ambayo ndio their first Suv... Kwa kuwa Sedans Kama Jaguar XJ hazina dili.
Believe me,Suvs ndio habari ya mjini duniani mda huu.
Ila kutokana na umasikini wetu wabongo Sedans Kama Toyota mark X,Camry na nyingine ndio tunaona zina maana.
Alimaind kwa sababu anajua hana uwezo wa kutembelea
Hii chuma si mchezo mpaka mtukufu alimaind