Kwa nini watu maarufu upendelea Range Rover na G-Wagon?

Kwa nini watu maarufu upendelea Range Rover na G-Wagon?

Daah! Ila G Wagon V12 Bi turbo AMG inatisha sana! Sidhani kama Range Rover inakuta ule mziki?!
Hakuna Range Rover inayoikuta G-Wagon AMG V12 Biturbo kwenye Performance...

Range Rover wameishia V8 Supercharged.

That's why G-wagon ina gharama kubwa kuliko RR.
 
Jeep ni gari kwa ajili ya off-road...

Japo Jeep Grand Cherokee imejengwa kwa luxury na off-road.

Hiyo ni Jeep Wrangler Rubicon Edition... Wanazitumia sana Jeshi la China.

Za kibabe sana mtu wangu.
Mkuu unajua magari saana...
Grand cheroke i thought ni adventure cars kama zilivyo discovery.

Discovery SUV
Cherokee
G-wagon
Range
Freelancer
Ni ndinga ambazo Ukiachilia mbali capability yao ila yanaheshima kwa body zao
 
lexus ni luxury version ya toyota kuongezwa bei ni sawa sababu inaongezewa vitu kibao mfano alteza na lexus is 200....harrier na lexus rx 350 vivo hivo kwa landcruiser v8 na lexus lx 570

mtu kusema is 200 ni kama alteza kila kitu ni sawa but is 200 ni differ kidogo na altezza kuna baadh ya nchi kuwa na gari lina nembo ya toyota ni kama magari ya maskini hvo hawawezi nunua ndo mana waka introduce lexus ...


features za lexus u luxury mwngi

full ma camera mbele na nyuma

then zote ni auto (ndo u luxury wenyewe) hakuna kuchezesha kirungu.. leather seat nk
Umeongea vyema mkuu..

Lexus ni luxury brand ya Toyota... Ni kama Rolls-Royce kwa BMW au Bentley kwa Volkswagen.

Na according to Consumer Reports Lexus ndio the most reliable car brand in the world ikifuatiwa na Toyota...

Unaweza ona ni jinsi gani imerithi Reliability ya Toyota.

Kwa wasiopenda Land Cruiser watatumia LX 570... Kwa wasiopenda Harrier watatumia RX and the like.
 
Mkuu unajua magari saana...
Grand cheroke i thought ni adventure cars kama zilivyo discovery.

Discovery SUV
Cherokee
G-wagon
Range
Freelancer
Ni ndinga ambazo Ukiachilia mbali capability yao ila yanaheshima kwa body zao
Mkuu...

Jeep Grand Cherokee ni gari yenye capability ya kuendeshwa misituni lakini ina muonekano mzuri ndani na nje hivyo inavutia pia kuendeshwa mjini...

It is an off-road luxury Suv...
Unaweza nenda nayo batani then ukazama nayo shambani.
 
Lexus ni subsidiary ya Toyota. Wao wanatengeneza magari ya kufahari.Lexus is the luxury vehicle division of Japanese car maker Toyota.
Najua hilo lakini hizi gari zinashea the same platform, chassis pamoja na engine ukitoa interior design pamoja na shape ya nje. Underneath ni gari Ile Ile japo kuna baadhi ya lexus zina jitegemea.
 
Najua hilo lakini hizi gari zinashea the same platform, chassis pamoja na engine ukitoa interior design pamoja na shape ya nje. Underneath ni gari Ile Ile japo kuna baadhi ya lexus zina jitegemea.

Ni magari mawili tofauti.
 
Najua hilo lakini hizi gari zinashea the same platform, chassis pamoja na engine ukitoa interior design pamoja na shape ya nje. Underneath ni gari Ile Ile japo kuna baadhi ya lexus zina jitegemea.
Nakubaliana na wewe Mkuu...

Lexus chache ndio zinajitegemea,Lexus GX ndio Toyota Prado... Lexus LX ndio Land Cruiser... Lexus RX ndio Harrier... Lexus NX ndio Rav4.

Lexus nyingi zina share the same platform with Toyota.

Na ukiangalia recent cars from Toyota,mfano 2017 Toyota Camry front face yake wameanza kuiweka kama face ya Lexus.
 
upload_2017-2-23_15-31-8.png


DP WCB
 
Mi nataka Rav4.hujaona kuna watu wana pesa chafu lakini wanatembelea Escudo.hujawahi ona?ni sawa na mwingine ana pesa lakini anavaaga makobazi hayana shepu,mwingine masikini lakini anapiga ngwasuma ya laki na20
Yaani uwe na utajiri kama manji bakhresa au mo utumie escudo au vits LABDA WAKATI UNAPEWA HUO UTAJIRI ULIPEWA NA HAYO MASHARTI maana unatafuta hela za nini sasa kuna raha gani uwe tajiri kupindukia unagari bei sawa na pikipiki. labda mjasilia mali sawa sio tajiri
 
Sport Utility Vehicles(SUVs) are hot right now...

Wabongo ndio hatuendi na ulimwengu uendavyo....

Rolls-Royce Wamezalisha Sedans tangu WWII lakini siku hizi SUVs zimekua dili... Mwaka huu wanazindua their first SUV Rolls-Royce Cullinan.

Bentley pia wamezalisha Sedans kwa miaka mingi... Mwaka jana walizindua their first SUV Bentley Bentayga.Ambayo ndio world fast SUV.

BMW mwaka huu wanazindua BMW X7 ili icompete na Range Rover... Na wameona SUVs ndio zina soko siku hizi.

Jaguar wamezindua Jaguar F-Pace mwaka huu ambayo ndio their first Suv... Kwa kuwa Sedans Kama Jaguar XJ hazina dili.

Believe me,Suvs ndio habari ya mjini duniani mda huu.

Ila kutokana na umasikini wetu wabongo Sedans Kama Toyota mark X,Camry na nyingine ndio tunaona zina maana.
Is it Sub urban vehicle or sport utility vehicle? Just asking...
 
Is it Sub urban vehicle or sport utility vehicle? Just asking...
Yote ni majibu.

Suburban Utility Vehicle or Sport Utility Vehicle... Depending on the size.

BMW Suv zao wanaziita SAV yaani Sport Activity Vehicle.
 
Back
Top Bottom