Sport Utility Vehicles(SUVs) are hot right now...
Wabongo ndio hatuendi na ulimwengu uendavyo....
Rolls-Royce Wamezalisha Sedans tangu WWII lakini siku hizi SUVs zimekua dili... Mwaka huu wanazindua their first SUV Rolls-Royce Cullinan.
Bentley pia wamezalisha Sedans kwa miaka mingi... Mwaka jana walizindua their first SUV Bentley Bentayga.Ambayo ndio world fast SUV.
BMW mwaka huu wanazindua BMW X7 ili icompete na Range Rover... Na wameona SUVs ndio zina soko siku hizi.
Jaguar wamezindua Jaguar F-Pace mwaka huu ambayo ndio their first Suv... Kwa kuwa Sedans Kama Jaguar XJ hazina dili.
Believe me,Suvs ndio habari ya mjini duniani mda huu.
Ila kutokana na umasikini wetu wabongo Sedans Kama Toyota mark X,Camry na nyingine ndio tunaona zina maana.