Kwa nini watu maarufu upendelea Range Rover na G-Wagon?

Kwa nini watu maarufu upendelea Range Rover na G-Wagon?

bc3c9a5d551680975efd97f7550aff9c.jpg
this is me choice miaka buku!!!
 
Yup haziji ivyo.... sema napenda c's unaeza kuibadlisha vyovyote vile na kufika popote pale
59db4eb3b6d32b242cf12b9ff1529b95.jpg
Jeep ni gari kwa ajili ya off-road...

Japo Jeep Grand Cherokee imejengwa kwa luxury na off-road.

Hiyo ni Jeep Wrangler Rubicon Edition... Wanazitumia sana Jeshi la China.

Za kibabe sana mtu wangu.
 
Ukiangalia reviews nyingi za magari mwaka huu... G-wagon imescore marks ndogo sana.

Wakati huo huo Range Rover imechukua marks nyingi kiasi cha kupewa "Editors Choice" kuanzia Top Gear,Car Connection na Car and the Driver.

Hii ni kwa kuwa Range Rover imekua stable On and Off-road... Na lile tatizo la kuwa eti Range Rover haidumu bila kwenda Garage limeshachimbiwa kaburi.

Tatizo pekee sasa la Range Rover ni sky high price... Bei yake kweli ni nondo.

G-wagon imekuwa stable off-road but sio stable on-road pia imekuwa na fuel economy mbaya zaidi yani inakula mafuta sio mchezo.

Pia comfort na handling ya gari ni nzuri sana kwenye Range Rover kuliko G-wagon.

So Range Rover ndio mshindi hapo.
Mkuu Ahsante kwa nondo nzuri.
 
Wengi wanapenda range rover coz wananunua body botswana huko mil.10 then wanakuja kupachika injini ya discovery 3 Td5 bei chee tu.....wakimaliza wanaenda sinza kununua card ya range lililopata ajali then wanapachika namba maisha yanaenda
Hilo neno!!!!
 
lexus ni luxury version ya toyota kuongezwa bei ni sawa sababu inaongezewa vitu kibao mfano alteza na lexus is 200....harrier na lexus rx 350 vivo hivo kwa landcruiser v8 na lexus lx 570

mtu kusema is 200 ni kama alteza kila kitu ni sawa but is 200 ni differ kidogo na altezza kuna baadh ya nchi kuwa na gari lina nembo ya toyota ni kama magari ya maskini hvo hawawezi nunua ndo mana waka introduce lexus ...


features za lexus u luxury mwngi

full ma camera mbele na nyuma

then zote ni auto (ndo u luxury wenyewe) hakuna kuchezesha kirungu.. leather seat nk
 
Mi nataka Rav4.hujaona kuna watu wana pesa chafu lakini wanatembelea Escudo.hujawahi ona?ni sawa na mwingine ana pesa lakini anavaaga makobazi hayana shepu,mwingine masikini lakini anapiga ngwasuma ya laki na20
hao wa kuvaa makobazi ni namna walivopata hela zao msharti magumu bro hela ambazo sio halali ndo mateso yake mwngne ana jumba kubwa vitanda vya bei ghali lkn hawalali vitandani ...

maisha haya.....

mwingine ana V8 lakini yuko peku mda wote ukimuuliza anakwambia nataka nisikie joto halisi la ardhi yangu....ha ha ha tusidanganyane jamani
 
hao wa kuvaa makobazi ni namna walivopata hela zao msharti magumu bro hela ambazo sio halali ndo mateso yake mwngne ana jumba kubwa vitanda vya bei ghali lkn hawalali vitandani ...

maisha haya.....

mwingine ana V8 lakini yuko peku mda wote ukimuuliza anakwambia nataka nisikie joto halisi la ardhi yangu....ha ha ha tusidanganyane jamani
Mbona sijawahi shuhudia mtu anashuka kwenye ndinga kali, afu yuko peku!! Hizo huwa ni fununu tu
 
Hiyo ni land cruiser v8 mkuu wamefanya minor tweaks kwenye body na ndani pia wakaweka logo ya lexus.

Lexus ni subsidiary ya Toyota. Wao wanatengeneza magari ya kufahari.Lexus is the luxury vehicle division of Japanese car maker Toyota.
 
Mbona sijawahi shuhudia mtu anashuka kwenye ndinga kali, afu yuko peku!! Hizo huwa ni fununu tu
changanua akili we nyerere umewahi muona live?? akakwambia kuhusu alivo?? mbna unaweza kaa ukamuelezea alivyo ....sio kila kitu ushuhudie kwa macho na kwa akili ya kawaida sijasema watu wenye v8 ...bali kuna mtu hata me sijamshuhudia ila alikiri mwenyewe


ni hayo tu
 
Back
Top Bottom