ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Wakati mwingine naona watu wanapoteza muda sana kwenye comment za post za watu maarufu. Unakuta post ina comments elfu 10 au zaidi lakini bado mtu anaandika comment kana kwamba mwenye page atasoma kila kitu. Ukweli ni kwamba kwenye pages kubwa hasa reels na viral posts asilimia kubwa ya comments hazisomwi kabisa. watu wengi wanascroll tu wana like mbili tatu then wanaendelea na maisha.
angalau hata huku forums au sehemu za mijadala, huku watu kweli wana muda wa kusoma maoni ya wengine, kujibu, kubishana au kureview ideas tofauti. Ndiyo maana comment huku jamiiforum zinaweza kuwa na value zaidi.me wakati mwingine thread nikiilewea hasa ya mambo ya intelijensia,historia,siasa za kimataifa utakuta nimesoma comments zote Lakini kwenye pages za mastaa au viral reels, mara nyingi comment section imejaa kelele tu kila mtu anatakaa kutafuta attention kwa sekunde chache.
Si kwamba kucomment ni vibaya, ila sometimes mtu anatakiwa ajiulize ninaandika hii comment kwa sababu kweli nataka discussion au nataka tu kuwepo kwenye foleni ya comments
Kwa sababu mwisho wa siku unaweza kutumia dakika 2 kuandika kitu ambacho hakuna hata mtu mmoja atakayekisoma kwa makini.Mitandao siku hizi imefanya watu waone kila post lazima waache alama yao wakati mwingine ukimya una value kuliko kucomment kila kitu kinachopita mbele yako