Kwa nini watu wa mikoa ya Mara na Kilimanjaro wanapenda sana kufuatilia siasa za Kenya?

Nimeishi mikoa yote hiyo hapo juu,nimeona idadi kubwa ya watu wa huko wanapenda sana kufuatilia siasa za kenya.

Yani ukiwa mara au kilimanjaro radio station nyingi zinazosikilizwa huko ni za kenya,TV station zinazotazamwa sana ni za kenya.watu wa huko wana details nyingi sana kuhusu nchi ya kenya.huenda mtu akawa anamjua waziri wa elimu wa kenya lkn asimjue waziri wa elimu wa Tanzania.

Je ni sababu gani inayowafanya watu wa hiyo mikoa kuwa na interest na mambo ya kenya kuliko hata ya Tanzania?
USHUZI na KUJAMBA hmnaga tofati!!
 
Kama unajitambua, siasa za Kenya, mijadala ya kisiasa kwenye vyombo vya habari inavutia Sana, watu wanashindsna kwa hoja, hapa, kwetu ni mavi matupu,unafunga wapinzani kwa kesi za ki k, harafu unasema kuna demokrsia, hapa bongo, siasa ni kumsifia samia, hatuna tofauti na Uganda, Rwanda,
 
Bhn kipindi Cha nyuma KBC saa hz alikuwa anasikika sijui mambombotela na kipindi Cha huu ni ungwana, kama sikosei, namkumbuka dada mmoja alikuwa anaitwa bety Torochichi ni muda sasa sijaitegea KBC Taifa nitume arafa, kwa binti wa kikamba Sarah

cc humtomreyson
Unanipeleka miaka ya nyuma kidogo mkuu. Mambo mbotela alale pema aise.
 
Ukiwa na Intelligence Quotient (IQ) Kubwa kama tulizonazo watu wa Mara,ni lazima uwe na akili ya kufuatilia mambo,mambo hayo iwe - au + Kwa nia ya kuisaidia Jamii yako ambayo inaongozwa na Kundi la Ndondocha!
 
Nimeishi mikoa yote hiyo hapo juu,nimeona idadi kubwa ya watu wa huko wanapenda sana kufuatilia siasa za kenya.
Wewe sema Wajaluo, ndio wanapenda siasa za Odinga.
Yani ukiwa mara au kilimanjaro radio station nyingi zinazosikilizwa huko ni za kenya,TV station zinazotazamwa sana ni za kenya.watu wa huko wana details nyingi sana kuhusu nchi ya kenya.huenda mtu akawa anamjua waziri wa elimu wa kenya lkn asimjue waziri wa elimu wa Tanzania.
Ni kawaida mikoa ya mpakani, media zinazoshika ni za Kenya.
Je ni sababu gani inayowafanya watu wa hiyo mikoa kuwa na interest na mambo ya kenya kuliko hata ya Tanzania?
 
Kama sisi wa Wilaya ya Kanda Maalum tunaamini kwamba bila ya Berlin Conference na nchi zingekuwa ni makabila basi tungekuwa pamoja na wenzetu waliyo Kenya maana tofauti yetu ni uraia tu.
 
Hata wewe pia ni maiti mkuu nilitegeme
wanaelewa Demokrasia na kwamba hakuna aliye juu ya Sheria,hata polisi anawekwa ndani!

watu wanaandamana mud awowote wanavyotaka, na polisi akiuwa anawajibishwa

Njoo Tz sasa, nchi ya maiti!
a wewe ndiyo uanze kuwa front kuandamana kumbe ni keyboard warior like mimi
 
Radio citizen chemichemi ya ukweli, hujambo na karibu Mimi ni Christian Odhiambo,

Kila jumamosi ile usku kujiunga na pastor Pius Mwiru mjomba ake na ndege, akitusindikiza na kibao Cha Lulu

KBC Radio Taifa, sauti ni ya mkenya!! Nakumbuka tulivyo kuwa wadogo aseeh ni KBC, citizen, sifa FM ya voi, kidogo sauti ya injili Moshi, na Radio free Africa,

Kwako ndege wa division foo secretarybird
Umetishaaaa
Unakumbuka Radio citizen kipindi cha Christmas? Kulikua na kampen flan iv yenye vibe sanaaa inaitwa Patapata.
Jpili ilikua naskilizaga sana Je huu ni ungwana?
Mpira nilikua naskiliza Radio jambo zaid(nilikua naskilizia Citizen before🤣)
Mzaz Willy Tuva je?😄😄

Station za bongo zilikua almost amna
 
Hamna kabisa Kuna mmoja alikuwa anacheza kibao Cha ban cameroun ilikuwa citizen, bhn 😂

Hivyo vyote navipata sema nasahau rombo nikienda unakuta ni mara moja tuu nakuchomoka
 
Back
Top Bottom