Kwa nini watu wa mikoa ya Mara na Kilimanjaro wanapenda sana kufuatilia siasa za Kenya?

Nimeishi mikoa yote hiyo hapo juu,nimeona idadi kubwa ya watu wa huko wanapenda sana kufuatilia siasa za kenya.

Yani ukiwa mara au kilimanjaro radio station nyingi zinazosikilizwa huko ni za kenya,TV station zinazotazamwa sana ni za kenya.watu wa huko wana details nyingi sana kuhusu nchi ya kenya.huenda mtu akawa anamjua waziri wa elimu wa kenya lkn asimjue waziri wa elimu wa Tanzania.

Je ni sababu gani inayowafanya watu wa hiyo mikoa kuwa na interest na mambo ya kenya kuliko hata ya Tanzania?
Ni kwasababu wana akili.
 
Mimi nilkiwa mdogo nilikuwa siijui hata Tanzania
Maana radio ,TV za TV zilikuwa kwetu hazishuki
Niliumia Sana siku nilijua Mimi mtz
Umenikumbusha mbalii, 😄😄😄 wew utakua hujaishi mbali na nilipoishi
 
Nimeishi mikoa yote hiyo hapo juu,nimeona idadi kubwa ya watu wa huko wanapenda sana kufuatilia siasa za kenya.

Yani ukiwa mara au kilimanjaro radio station nyingi zinazosikilizwa huko ni za kenya,TV station zinazotazamwa sana ni za kenya.watu wa huko wana details nyingi sana kuhusu nchi ya kenya.huenda mtu akawa anamjua waziri wa elimu wa kenya lkn asimjue waziri wa elimu wa Tanzania.

Je ni sababu gani inayowafanya watu wa hiyo mikoa kuwa na interest na mambo ya kenya kuliko hata ya Tanzania?
Kwa sababu wanaundugu nao kwa kilimanjaro wachaga wengi wapi nairobi wa kutosha ,na wamasai wako wengi tuu KENYA WANZUNGUKA KAMA MITAAA YAO MARA wakurya na wajaluo wapo kenya wa kutosha ni mtaani kwao na lazima wafuatilie usalama wa kisiasa maana wa ndugu huko
 
Ndio jamii iliyokaribu nao sana, sababu ya mipaka,Angalia hata Songwe(Tunduma)Wana habari Nyingi za Zambia! Na Mbeya(Kyela) Wana habari Nyingi za Malawi.
Hata mkoa maeneo ya Karagwe unakuta wanasikiliza sana radio za Uganda na Rwanda....niliwahi ishi kule kabla ya hizi fm radio za kimkoa bado.

Ukiondoa RFA ambayo Kwa tabu ilipatikana, hakuna cha radio one wala RTD. East Africa Radio enzi zile inavuma unaipata kwa masafa ya Uganda
 
Nimeishi mikoa yote hiyo hapo juu,nimeona idadi kubwa ya watu wa huko wanapenda sana kufuatilia siasa za kenya.

Yani ukiwa mara au kilimanjaro radio station nyingi zinazosikilizwa huko ni za kenya,TV station zinazotazamwa sana ni za kenya.watu wa huko wana details nyingi sana kuhusu nchi ya kenya.huenda mtu akawa anamjua waziri wa elimu wa kenya lkn asimjue waziri wa elimu wa Tanzania.

Je ni sababu gani inayowafanya watu wa hiyo mikoa kuwa na interest na mambo ya kenya kuliko hata ya Tanzania?
Ni kama watu wa Kigoma na DRC au Songwe na Zambia
 
Tanzania utafuatilia nini hasa. Yaani niniiiii.....?
 
Nimeishi mikoa yote hiyo hapo juu,nimeona idadi kubwa ya watu wa huko wanapenda sana kufuatilia siasa za kenya.

Yani ukiwa mara au kilimanjaro radio station nyingi zinazosikilizwa huko ni za kenya,TV station zinazotazamwa sana ni za kenya.watu wa huko wana details nyingi sana kuhusu nchi ya kenya.huenda mtu akawa anamjua waziri wa elimu wa kenya lkn asimjue waziri wa elimu wa Tanzania.

Je ni sababu gani inayowafanya watu wa hiyo mikoa kuwa na interest na mambo ya kenya kuliko hata ya Tanzania?
Kipindi Niko mdogo kwetu kuanzia sabuni, chumvi, cement, mafuta ya kula na bidhaa nyingine nyingi tulikuwa tukitumia za Kenya, Redio tulikuwa tukisikiliza KBC, Citizen za Tanzania ilikuwa ni Redio Tanzania na R.F.A baadae Redio One na nyingine ndiyo zikaanza kusikika, nakumbuka mwaka 2002 baba yangu alikuwa akifuatilia uchaguzi wa wakati huo uliomuweka Kibaki Madarakani, kila siku jioni alikuwa akifungulia KBC Taifa au Citizen,
 
Ni karibu, pia tabia za watu wa mara na Kilimanjaro zinakaribia kufanana na tabia za wakenya ...mambo ya kujifunza mengi yapo kwa jirani na mengi ni mazuri zaidi😅
 
Back
Top Bottom