Kwa nini watu wa mikoa ya Mara na Kilimanjaro wanapenda sana kufuatilia siasa za Kenya?

Hahaha aah nakumbuka mengi sana bhn, nakumbuka mkulima ule hufungui kama mzee hayupo,

Hapo kipindi kile unakuta Cha kuvuna maharage ni kuokota maharage, na kuiba yakiwa shambanii mpk kununua radio flani vidogo vidogo
Mkulima ilikua sii ya kila mtu kugusa.
Wakishua walikuaga na zile radio casette zenye double decker

Taarifa za habari za kenya ndo zinajulikana zaidi. Mara moja moja tulikua tunaskiliza majira ya RTD
 
Hahahaha mkulima ulikuwa unaheshimiwa sana,

Tulikuwa na ya kuweka Kanda Ila ilikuwa ni Haina double deka,
 
Nimeishi mikoa yote hiyo hapo juu,nimeona idadi kubwa ya watu wa huko wanapenda sana kufuatilia siasa za kenya.

Yani ukiwa mara au kilimanjaro radio station nyingi zinazosikilizwa huko ni za kenya,TV station zinazotazamwa sana ni za kenya.watu wa huko wana details nyingi sana kuhusu nchi ya kenya.huenda mtu akawa anamjua waziri wa elimu wa kenya lkn asimjue waziri wa elimu wa Tanzania.

Je ni sababu gani inayowafanya watu wa hiyo mikoa kuwa na interest na mambo ya kenya kuliko hata ya Tanzania?
Ni kama ilivyo waislamu wa mikoa ya Pwani walivyo karibu na majini yaliyopo baharin
 
Hahaha aah nakumbuka mengi sana bhn, nakumbuka mkulima ule hufungui kama mzee hayupo,

Hapo kipindi kile unakuta Cha kuvuna maharage ni kuokota maharage, na kuiba yakiwa shambanii mpk kununua radio flani vidogo vidogo
Viredio vidogo vidogo kama vile "ultra power" ukifika nako ndani unaunganisha waya kutoka kwenye antena ya redio hadi nje ili kunasa mawimbi...nlikuwa nasikiliza sana michezo kupitia kbc nairobi..kipindi hcho timu nzuri zilikuwa ni sofapaka, mathare united, na gor mahia
 
Mkoa gani huo mkuu?
 
Ewaaah gor mahia kitambo sana sijasikia hili neno 😂
 
Back
Top Bottom