Kwa nlichokiona niseme watoto wa kike wa chuo wanatumika vibaya sana

zerominus10 SISIS Mzee wa kupambania baadhi ya wadada wa chuo walivyo na makalio mazuri, kama mwanaume una hela utaacha kuwaomba kinyume na maumbile kweli 😋
 
Watoto wa kike ni wa kulinda sana jamani.
 
Chuo kilikuwepo na kitakuwepo hata kabla ya hao watoto kuzaliwa may be....La msingi hapa watoto wengi hasa wa kike hawajitambui na wanapenda kuiga maisha kwakujifananisha na wengine hilo linawaponza sana
 
Lazima wawe na elimu ya kufundisha hao watoto wanaozaliwa ....Ndio mana mtoto akilelewa upande mmoja ana uwezekano wa kuwa WA moto sana au wa hovyo sana kufidia yale maumivu
Watoto watafu dishwa tuu hilo wala usijali kwani mtoto akiwa wakike sii atafundishwa na mama yake
Akiwa wakiume atafu dishwa na baba yake na ataenda skongaz
 
Yaani kwa miguno yote hiyo ukashindwa na wewe kumgegeda?
 
🤣🤣🤣
 
sorry, mid your busness, huyo si mtoto ni mtu mzima, so anajua analolifanya, it her choice!!
 
Ex wangu pale Mwalimu Nyerere alikuwa na rafiki yake ukouko Kigamboni, akawa anawekwa ndani na mtu mzima mwanajeshi mstaafu. Akawa anamlipia nyumba na matanuzi ila huyo binti bado anatoka na jamaa yake wa chuo mpaka sponsor akagundua akasitisha huduma kwa muda.

Baadae wakaendelea binti akapata mimba, kwao hawana uwezo kabisa akaacha chuo. Mwanaume akaanza mchukulia kawaida, nimemuona December nimeshangaa alivyochakaa.

Mara nyingi wanaofanya umalaya kama lifestyle na sio njaa huwa wanadumu sababu umalaya ni kipaji. Ila hawa watoto wa maskini wanaoishi mazingira magumu wakiingia uko angalau nao kuishi huwa wanaharibikiwa mapema.

Ukiondoa umaskini unapunguza chances 50% ya binti yako kuwa chawote uko chuoni. Ukimpa na malezi sahihi na kumfuatilia unapunguza nyingine 25% na 25% zinazobaki na factors zake yeye.
Ukiona binti yeyote ana tabia njema, utagundua mostly sio yeye bali wazazi/walezi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…