GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Pamban na.simba yako.mamb ya yanga tuachie wenyewe tuyamalizeKlabu ya Misri iko tayari kuipa Yanga SC Billioni 2 na Kumpa Mshahara wa Tsh Milioni 85 za Kitanzania kwa Mwezi.
Klabu nyingine huko Saudi Arabia iko tayari kuipa Yanga SC Billioni 1.5 na Mshahara wa Tsh Milioni 70 kwa Mwezi.
Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo ataziacha hizi Ofa ili abakie Tanzania kwakuwa anapendwa na kufanywa Mfalme huku akilambwa Miguu ili abakie Ligi Kuu ya NBC.
Mkuu labda mtoa mada ni mke wa Mayele mume wake kamwambia details zote hizo. Usimdharau mtu usie mjua mkuu sisi tunamdharau mtoa mada kumbe huenda ni mke wa star wa soka la bongoUnajisikiaje kuandika kitu AMBACHO huna uhakika nacho...
Shida unapenda sana story za vijiwe vya kahawa...
Mkuu labda mtoa mada ni mke wa Mayele mume wake kamwambia details zote hizo. Usimdharau mtu usie mjua mkuu sisi tunamdharau mtoa mada kumbe huenda ni mke wa star wa soka la bongo
Hahahaha hahaaaaaaaaaaaa....Mkuu labda mtoa mada ni mke wa Mayele mume wake kamwambia details zote hizo. Usimdharau mtu usie mjua mkuu sisi tunamdharau mtoa mada kumbe huenda ni mke wa star wa soka la bongo
Sasa mkuu, unataka afanyaje?atoe hela ya usajili? Hili jukumu unalotaka alifanye Mo mwenyewe nasikia katweet huko mambo ya transformation. Wanasimba tunamwangalia tu.Unajisikiaje kuandika kitu AMBACHO huna uhakika nacho...
Shida unapenda sana story za vijiwe vya kahawa.
Katika WATU wanaotudhalilisha mashabiki WA Simba hapa JF upo????
Baada ya kushinikiza usajili WA MAANA ndani ya kllabu yako UNAHANGAIKA na mayele.
Simba Hadi sasa hakunakiungo 6..
Hakuna beki no 5 akiumia Inonga au malone
Hata kugawana mazoezini ni mtihani maana Wana Mabeki 3 tu.
MSIMU uliopita walikuwa na Mabeki WA kati 5 na 6 kitaka Nyoni.
FIKICHA AKILI
Ndio alivyosema MO? MO kasema atakata tamaa na SimbaKlabu ya Misri iko tayari kuipa Yanga SC Billioni 2 na Kumpa Mshahara wa Tsh Milioni 85 za Kitanzania kwa Mwezi.
Klabu nyingine huko Saudi Arabia iko tayari kuipa Yanga SC Billioni 1.5 na Mshahara wa Tsh Milioni 70 kwa Mwezi.
Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo ataziacha hizi Ofa ili abakie Tanzania kwakuwa anapendwa na kufanywa Mfalme huku akilambwa Miguu ili abakie Ligi Kuu ya NBC.
Mke wa Mayele ndiyo awe na akili kama za huyu bumunda!! Aisee mkurugenzi inabidi umtake radhi shemeji yetu bhana.Mkuu labda mtoa mada ni mke wa Mayele mume wake kamwambia details zote hizo. Usimdharau mtu usie mjua mkuu sisi tunamdharau mtoa mada kumbe huenda ni mke wa star wa soka la bongo
We ni mmoja wapo wa wanaoidharirisha Simba, usajili haujaisha we unakuja na ngonjera za kumponda Simba mwenako, nimeona kila muda story yako ni hiyo hiyo...Unajisikiaje kuandika kitu AMBACHO huna uhakika nacho...
Shida unapenda sana story za vijiwe vya kahawa.
Katika WATU wanaotudhalilisha mashabiki WA Simba hapa JF upo????
Baada ya kushinikiza usajili WA MAANA ndani ya kllabu yako UNAHANGAIKA na mayele.
Simba Hadi sasa hakunakiungo 6..
Hakuna beki no 5 akiumia Inonga au malone
Hata kugawana mazoezini ni mtihani maana Wana Mabeki 3 tu.
MSIMU uliopita walikuwa na Mabeki WA kati 5 na 6 kitaka Nyoni.
FIKICHA AKILI
Na wewe brother unazngua, kwani namba 6 si hatuna kweli.We ni mmoja wapo wa wanaoidharirisha Simba, usajili haujaisha we unakuja na ngonjera za kumponda Simba mwenako, nimeona kila muda story yako ni hiyo hiyo...
Yaani Mwendawazimu Wewe unisahihishe 'Brainiac' Mimi GENTAMIYCINE kweli? Hivi hujishtukii tu?Huyu jamaa anazidi kujishusha heshima yake kwa Kasi sana hapa Jamii Forum.
Huwa anaokota sana Story VIJIWENI na bila ku DIGEST anapitiliza nazo hapa JF.
Nadhani tuungane kumshauri AJISAHIHISHE.
Anayekupa Mimba zisizo na Mpango kila mwaka nae si wa Kumuonea Huruma pia?Huyu si wa kumtukana ni wakumuonea huruma,yaani sometimes hajui hata alicho kiongea dk 5 zilizopita.Hili tatizo alilokuwa nalo ndio siku hizi wanaliita "tatizo la afya ya akili ".
Mwanangu mtafute mtu wa Saikolojia akusaidie.
NB:Ikiwezekana Moderator kuna baadhi ya member wawawekee idadi ya thread kwa mwezi,mfano kama huyu Gent anatakiwa atume thread tatu tu kwa mwezi,manake anaandika mashudu na pumba tupu.
Hajawahi Kumiliki Akili huyo Juha hivyo achana nae na kamwe asikupotezee muda wako.We ni mmoja wapo wa wanaoidharirisha Simba, usajili haujaisha we unakuja na ngonjera za kumponda Simba mwenako, nimeona kila muda story yako ni hiyo hiyo...
NakaziaHuyu si wa kumtukana ni wakumuonea huruma,yaani sometimes hajui hata alicho kiongea dk 5 zilizopita.Hili tatizo alilokuwa nalo ndio siku hizi wanaliita "tatizo la afya ya akili ".
Mwanangu mtafute mtu wa Saikolojia akusaidie.
NB:Ikiwezekana Moderator kuna baadhi ya member wawawekee idadi ya thread kwa mwezi,mfano kama huyu Gent anatakiwa atume thread tatu tu kwa mwezi,manake anaandika mashudu na pumba tupu.
NakaziaHuyu jamaa anazidi kujishusha heshima yake kwa Kasi sana hapa Jamii Forum.
Huwa anaokota sana Story VIJIWENI na bila ku DIGEST anapitiliza nazo hapa JF.
Nadhani tuungane kumshauri AJISAHIHISHE.
Yaani huwa nafikiri huyu bwana popoma aliwexaje pata tuzo hapa jf Kama huyu ndio think tank la musoma ,maraUnajisikiaje kuandika kitu AMBACHO huna uhakika nacho...