Kwa Ofa zifuatazo kwa Mayele mnapoteza muda Kumlamba Miguu yake ili abakie Yanga SC

Kwa Ofa zifuatazo kwa Mayele mnapoteza muda Kumlamba Miguu yake ili abakie Yanga SC

Klabu ya Misri iko tayari kuipa Yanga SC Billioni 2 na Kumpa Mshahara wa Tsh Milioni 85 za Kitanzania kwa Mwezi.

Klabu nyingine huko Saudi Arabia iko tayari kuipa Yanga SC Billioni 1.5 na Mshahara wa Tsh Milioni 70 kwa Mwezi.

Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo ataziacha hizi Ofa ili abakie Tanzania kwakuwa anapendwa na kufanywa Mfalme huku akilambwa Miguu ili abakie Ligi Kuu ya NBC.
We w Ni mbuzi kweli
 
Huyu si wa kumtukana ni wakumuonea huruma,yaani sometimes hajui hata alicho kiongea dk 5 zilizopita.Hili tatizo alilokuwa nalo ndio siku hizi wanaliita "tatizo la afya ya akili ".

Mwanangu mtafute mtu wa Saikolojia akusaidie.

NB:Ikiwezekana Moderator kuna baadhi ya member wawawekee idadi ya thread kwa mwezi,mfano kama huyu Gent anatakiwa atume thread tatu tu kwa mwezi,manake anaandika mashudu na pumba tupu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4] mashudu na pumba

Alfu eti anakuwa mshindi wa tuzo za michezo aliyempa Nina mashaka na uwezo wao wa kufikiri

Mtu kila siku anaandika mashudu na pumba alfu anapewa tuzo dah inasikitisha
 
Na nitashinda sana tu labda Shindano liswepo.
 
Mkuu labda mtoa mada ni mke wa Mayele mume wake kamwambia details zote hizo. Usimdharau mtu usie mjua mkuu sisi tunamdharau mtoa mada kumbe huenda ni mke wa star wa soka la bongo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti mke wa mayele nyie siyo poa

Kweli uwenda Ni mke wa mayele
 
Back
Top Bottom