Kwa Ofa zifuatazo kwa Mayele mnapoteza muda Kumlamba Miguu yake ili abakie Yanga SC

Mtu kashachezea Ban ndicho mlichokitafuta wewe Dr upo unazurura tu wangepita na wewe pia!!!
 
Huyu jamaa huwa anafurahisha sana page ya kwanza mazungumzo yanakwenda vizuri page nyingine zote hata ziwe 10 ni matusi tu uzi unapoteza maana kabisa.
 
kama hiyo ofa ipo ni bora tumruhusu ngoja nimpigie simu arafat sasa hivi

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…