Kwa pamoja tunaweza: Ratiba ya mechi za kususia za simba hii hapa,wacheze na majukwaa matupu

Sio simba tu pia kwa tanzania hii hakuna
Sitashangaaa kama hata uongozi umekataa kuzuia watu kuhudhuria mazoezi kule bunju sijui ile milioni 150 ya ukuta wameila sembuse haya ya kususia, ilapoa tu itakuja automatic october siyo mbali
Nawashauri viongozi huo ukuta wasijenge ni ushamba, watu waendelee kuhudhuria na kurekodi kwa sana, kenge hasikii hadi atoke damu soon watu watachukua hatua wenyewe tena zitakuwa hatua mbaya sana
 
Tangu nianze kushabikia/kufuatilia mpira sijwahi kuwa na maamuz ya kijinga namna hii lakini we tapika nyongo uponye maumivu
Mie jana simba kafungwa na man utd wamefungwa nimejitahidi sana kujuzuia nilienda kijiweni nikatapika nyongo wee mwili na akili vikatulia now niko byeeee

#NGUVUMOJA
 
Na hiyo ndiyo shida simba taratibu inaanza kuwa man utd hali inafanana, angalau kwa wenzetu fans wanaongelea suala la ku boycott matches na kununua merchandise hapa unaambiwa ile bullshit ya mpira una matokeo matatu
Nakuapia hao maboya bila kuwazomea na kuwasusuia hawataelewa kitu they are so spoilt wanadeka mnoo na uwezo wao ni duni na hapa tunakaa tunajidanganya dejan, kiyombo na boko ni strikers wa kutupeleka nusu fainali afrika
 
Weka hisia kando nenda kitaalam
utaalamu kwa sasa ni kwamba kesho na keshokutwa niwakaribishe geita gold kwenye mazoezi yetu ya wazi pale bunju wanaruhusiwa pia kurekodi kwa simu sisi hatuna noma ni wazungu wa roho sana
 
Ni wangapi hakuchunguza mazoezi ya Simba na wakagawana point na Simba ?
si ndiyo maana nimewasifia uongozi wa simba kwa kuendesha team kisasa, nitalaumu yoote lakini hapo lazima niwapongeze wamewaweka karibu mashabiki na wapenda soka wote kushuhudia mazoezi, wala siyo big deal sana
 
wazungu wanasema kuna "fans" na supoters" sasa waafrika wengi sio suportes, united wametandikwa mechi 2 mfululizo ila mechi ijayo utawaona wamejaa Old traford kuishangilia timu yao
 
Hivi hatuwezi kuwafanya kitu hawa viongozi kwani ndio wanazingua.
Huyo kocha mzungu walimwaminije kumwachia derby?

Kwa nini timu inapata wadhamini inadhindwa kununua striker kwa 400milioni?

Hawataki kuuza kadi kwa vile wana hela kwa nini hawasajili?
 
Tuache wenye team yetu tushuke nayo daraja
 
Too low for you Bro.
 
Hili la spirit ya kupambania timu toka siku nyingi wachezaji wa Simba ni kama mabwanyenye flan hawana presha kila kitu kwao kawaida tu tofauti na Yanga wanapambania timu unawaona kabisa,mfano mzuri ile ya kirumba erasto nyoni alivyotolewa akavue hereni tena anatafunz na banzoka unabaki unajiuliza hivi hawa wapo kwenye maonyesho au ni wachezaji walioacha familia zinazohitaji ugali toka kwao
 
Pole kwa Barbara Gonzalez sababu soon atageukwa hata na wanaomsifia bora sisi tunaomuambia ukweli mapema, oktoba yanga wanatugonga tena...na hiyo ndoto kufika nusu fainali ya klabu bingwa labda iwe ya mashindano ya kula mayai ila siyo soka
Hahaaaaa umechefukwaaa
 
Haswaa hilo ndilo tatizo lilipo na mashabiki wa simba kuna uzoba fulani upo kwamba mpira una matokeo matatu,kwanini watu wanapinga wasisusiwe mwezi mzima kuangaliwa? mishahara si inaingia bwana
Pesa za M bet si zipo? wakacheze na majukwaa matupu sasa
 
Bwashee ukisusa wengine twala, una mawazo ya kike kike sana weye, yaani kukosa hicho kigao ndio tuisusie timu yetu?

Acha utoto kijana, tunaipenda simba na kama wewe hupendi susa tu.
 
Bwashee ukisusa wengine twala, una mawazo ya kike kike sana weye, yaani kukosa hicho kigao ndio tuisusie timu yetu?

Acha utoto kijana, tunaipenda simba na kama wewe hupendi susa tu.
Endelea kuzodoa tu kwani october mbali utopolo anatonesha kidonda NAKUAPIA KUNA SIKU HAIKO MBALI LILE BASI LItaPASULIWA VIOO PALE TAIFA NA ITATOKEA VURUGU KUBWA SANA NA MABOMU YATAPIGWA
Mtakuja kukumbuka kwamba ni bora watu hizo hasira wangehamishia kwa kususa kwenda uwanjani,mimi nishaanza countdown yangu tuombe uhai, there is a recipe for disaster inayochangiwa na arrogance ya hali ya juu toka kwa viongozi, benchi la ufundi, na mashabiki wenyewe, KUMEOZA
 
Susieni tu hizo game nyingine ila game yetu na nyinyi mkisusa kudadeki tunawafata popote pale mlipo tunawakamata na kuwaingiza uwanjani kwa lazima, ole wenu msuse kuingia siku hiyo ndio mtatueleza kwanini mlichagua team dhaifu siku ya tamasha lenu. Eboo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…