Mmeona wenyewe jana hata baada ya poor display na officialy kugeuka kuwa wateja wa utopolo fc kwenye kupokea medali wengine walivyokuwa wanachekacheka kama NDALAKYUYA
Hawana cha kupoteza hao wajinga, jana usiku wamegonga konyagi zao, wamelala na malaya zao huku wengine mnaingia nyumbani kwa kujificha na wengine wanahojiwa kwenye tv na kuangusha michozi kama mataahira mwishowe wanaaibisha familia zao
Mwingine alikuwa busy kutafuta red card akicheza kung fu za hatari wakati huo team inaongoza na alitegesha kabisa dakika za lala salama za kwenda half time ili aipate hiyo red card, alivyoona refa muoga akaamua kufungisha goli la pili
Hawa vichaa siyo wa kuwachekea kabisa na jingine acheni kupewa matumaini hewa ya manzoki, huyo kama kuja atakuja usajili wa december kwa sasa strikers wetu ni Dejan, kiyombo na boko hao ndiyo watatufkisha nusu fainali ya klabu bingwa afrika ,moses phiri hana kiwango atakuwa anakaa jukwaani hata benchi hafai
Sasa ndugu zangu wa Dar es salaam na mbeya hizi mechi hapa zinatosha kuwaonyeshea wachezaji kwamba watu wana shughuli nyingine pia za kufanya zaidi ya kuangalia ujinga wao
HAKUNA KWENDA UWANJANI WACHEZE NA MAJUKWAA MATUPU NA HUKO MBEYA MSIWAPOKEE NA MISAFARA YA BODABODA ACHENI SHOBO HIVI HAMUONAGI MKIWAPOKEA HUWA WANAVYONUNA HATA KUPUNGA MKONO HAWATAKI?
Hizi mechi nne wakicheza na majukwaa matupu labda tutaanza kuheshimiana upya*
17 August 2022
Simba Sc vs Geita Gold (Benjamin Mkapa National Stadium )
20 August 2022
Simba Sc vs Kagera Sugar (Benjamin Mkapa National Stadium )
September 7,2022
Simba Sc vs KMC (Benjamin Mkapa National Stadium )
September 14,2022
Tanzania Prisons vs Simba Sc (Sokoine Stadium,Mbeya )