Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

Kha ni kweli yametokea! Kuna shekhe alituambia kutakuwa na mito ya pombe tamu radhatil ukijumlisha na hili la wnawake wazuri hakika hii dini ipo Safi.

Sio ile nyingine tunatishiwa tutachomwa moto
😂😂Nenda kasikilize moto wao upoje kwanza na nani anaingia
 
Acha maneno ya kubagua...eti hedhi imesimama... hauna mama wewe hauna dada...akisimama unaona hedhi anasimama au .heshimu binadamu wenzako
 
Kwa sababu kipindi kile wanawake walikuwa wanakandamizwa so automatically dini itakuwa na watume wanaume coz wanaume ndo wametengeneza hizi story
 
Huo urembo wanakuwa wanataka kumringishia nani? Mwanamke anajiremba ili asifiwe na mwanaume.

Tumeshaona wanaume wao watapewa hao 72 ili kukata kiu yao ya ngono. Je wanawake huo urembo ni kwa ajili ya nini?
😂😂Wafurahi tu...ila mudi angekuwepo saa hivi angechekwa sana
 
Najua naandika tu kufikisha ujumbe kila kitu hapa sijengi hoja nawambia kumbatieni wanawake nyie ni werevu kuliko Mungu na huko nyuma hakukua na wanawake weerevu kuliko dunia ya leo?. Hata Mtume mmoja mwanamke nitajie
😂😂😂😂Hizi story zimetungwa na wanaume....elewa Hilo kwanza...dini yenu nzima is based on kukandamiza wanawake unategemea mtume wa kike atoke wapi
 
Sijasema Nataka uongozi Mimi nasimama na Sheria alizotuwekea Mwenyezi Mungu Mwanamke ni msaidzi tu wa mwanaume basi imeisha pinga upi gavyo lakini Mungu hakosei kaa chini tafakari.
Hizo sheria Mungu alikuja akasema hivyo au umesikia kwa maamuma mmoja huko
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Muhimbili wanafanya upasuaji kuongezea makalio,vipi wewe unaweza kwenda kuongezea?.
Mwanamke na urembo ni chanda na pete na ndiyo kapewa.
😂😂😂😂😂Hapo si ili waattract wanaume ..wapate maisha....we kina vera sidika bila ule mwili unadhani angeishi vile...asa huko mbinguni ehe kapewa urembo wat next...bac we mpe demu wako urembo tu afu tuone kama hautapigiwa na wahuni
 
Allah aliona njia pekee ya kushawishi wanaume wamuabudu ni kuwaahidi wanawake wazuri mbinguni.

Mbingu ya allah itakua kama danguro, itakua inanuka kyuma muda wote kwa sababu wanaume kazi yao itakua ni mtombo, pombe, mtombo, pombe, mtombo pombe. Mbingu itakua kama danguro.

Mbaya zaidi Allah hana ahadi yoyote aliyowapa wanawake wa hapa Duniani kwani tayari wanaume walishaahidiwa mabikra 72 ila wanawake hakuna kitu.

Hii sio dini, ni hadithi za watu wenye matatizo ya ubongo.
 
Hapa tuhamie kwa Papa tu.
 
Mmesahau waislamu pia wameahidiwa mito mikubwa ya pombe huko peponi.
 
Vipi kuhusu hoja yake ya mabikira 72 wapo au hawapo? Kama wapo. Je wanawake wao watapata nini?

Halafu unamwambia athibitishe kama ni utapeli. Yupo sahihi ni utapeli maana ahadi hizo ni famba.
 
Mmesahau waislamu pia wameahidiwa mito mikubwa ya pombe huko peponi.
Ila duniani ni haram. Kweli dini ni utapeli.

Niliposikia ukifa tu anakuja malaika kukuchapa viboko kaburini nikajua ni utapeli.
 
Unasemaje? Peponi ni mume na mke wake na michepuko 72.
 
Ndugu zetu waislamu wameahidiwa makubwa pindi watakapofika peponi, na mimi naanza kujitafakari.

View attachment 2860064
View attachment 2860063
Hapo ndipo huwa ninapata taabu kuuelewa uislamu.

Kuna kuozeshwa huko baada ya kufa. Wanawake je hawana zawadi huko?

Mungu gani ameandaa mabikra kwa ajili ya waumini wa dini hii tu?

Dini hii hii huhimiza kuwaua wasio waislam kwamba watapata thawabu na kwamba kuna zawadi ya videmu vichuchu saa 6.



Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…