SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
😂😂Nenda kasikilize moto wao upoje kwanza na nani anaingiaKha ni kweli yametokea! Kuna shekhe alituambia kutakuwa na mito ya pombe tamu radhatil ukijumlisha na hili la wnawake wazuri hakika hii dini ipo Safi.
Sio ile nyingine tunatishiwa tutachomwa moto