Mapenzi ni starehe ya duniani. Mbinguni kuna mfumo tofauti kabisa na wa kidunia. Hamuwezi geuza pepo kuwa danguro. Mwanaume mmoja wanawake 72?! Huo ni umalaya na ni kumdhalilisha mwanamke.
Kwanini tunakosa akili basic kabla ya kuingia ndani zaidi ya mambo ya kidini...mimi ndhani tuanze kujifunza MSINGI WA MAMBO kwanza hii itafanya mjadara au kuelewa kwa urahisi inaonesha watu wengi kama wewe hamuna BASIC ya mambo na wengi hata ukiamua kuwa in positive way kumfunza anaendela kenehi ndio maana nimeamua nisichangie tu hii mada.
Anyway nakuelekeza MSINGI, umeandika neno DANGURO, UCHAFU na UMALAYA pale juu, kimsingi haupo sahihi umefanya matumizi haya ya maneno mahala si sahihi ungekuwa na msingi kwanza usingeweka meneno haya passport satahiri.
DANGURO: ni sehemu watu wanafanya mapenzi kwa kujiuza, je hawa wanawake 70 ulioqambiwa wanajiuza.
UCHAFU na UMALAYA: Kufanya mapenzi kinyune na maagizo ya Mungu, sasa ikiwa Mungu mwenyewe ndio aliyekukabidhi nankukupa ragusa hao wanawake 70 kwanini United umalaya na uchafu...YOU NEED TO BE PROFFESOR TO THINK IT.
Nadhani unajua definition ya haya maneno ila haupo tayari kujifunza kwenye mambo ya kidini na unatwaliwa na Hisia na uchochezi wa kidini.
Kwani si ni Mungu aliyeongoza kuoana ndio tufanye mapenzi je umewahi kusema mke na mume wanafanya uchafu na umalaya NOOOH, kwasababu unajua karuhusu Mungu sasa iweje ukisikia eti peponi Mungu kaandaa kitu ABC unageuka na kusema Umalaya si huyuhuyu Mungu aliyeweka hivi vitu nakuse UCHAFU ni ABC SAHIHI ni ABC...INACHOSHA AISE TUJIFUNZE NA TUWE HUMBLE KUJIFUNZA.
MAANA YA KITU KIBAYA NA KWANINI
Inabidi uanze kwa kujielimisha nini maana ya kitu kibaya na kwanini kuna kitu kibaya, Mungu kaumba vitu vibaya mf Zinaa, Uchafu nk hili kukupa mtihani wa kufudhu hapa Duniani kimsingi vitu vibaya si vibaya ila vibaya kwa AMRI niishie hapa naona uzi umejaa kebehi na watu hawako tayari kujifunza bali chuki za kidini na udini mkali.
Rai yangu watu tujifunze, huezi kujua FATE SAHIHI ni ipi kuoitia kujifunza na Mungu wa kweli atakuongoza kwenye njia sasahihi kushambuliana sio sahihi.