Yaani waarabu wametupiga na kitu kizito kwa kweli, halafu ukiwabana Sana na hoja hawa ndugu zangu katika imani wanakimbilia kusema unakufuru.Hizi ni hadithi za alfulelaulela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we unamuaminije mtu ambaye hajawahi fika huko
Dah, jamaa acha uchokozi bhana. Wakija hapa utakoma 😂😂😂Ndugu zetu waislamu wameahidiwa makubwa pindi watakapofika peponi, na mimi naanza kujitafakari.
View attachment 2860064
View attachment 2860063
Njia pekee ya Mohammed kuwavutia wanaume wa kiarabu kujiunga na dini yake ilikua ni kuwapa ahadi za anasa kama hizi. Ndiyo maana mpaka Leo watu wako radhi kujilipua na mabomu ili wakafurahie endless sex kwenye danguro la peponi.Swali zuri. Eti mwanamke anapenda urembo. Wakati huo urembo wanapenda ili wawavutie wanaume.
Sasa huo urembo huko peponi utakuwa na maana gani maana wanaume wenyewe watakuwa bize na vimwana 72.
akili ya kifeminist ndio inayokuharibu.. yaani fantasy au enjoyment ya mwanamume lazima ifanane na ya mwanamke! wakati maumbile yao ni tofauti.Asante kwa maelezo, Ila bado hujanijibu wanawake wanaotenda mema duniani watapewa Nini. Umesema watakuwa Bora na warembo Sana. Kuwa mrembo na Bora sio starehe hiyo.
Wakati waume zao Wana enjoy na warembo zaidi ya sabini,
Wao watakuwa wanapata enjoyment gani?
Naam wanawake wa duniani,zawadi mojawapo watayopewa ni kuwa na waume zao huko peponi.kariobangii
Sikutaka kuquote post yako sababu ni ndefu ila imenivutia sana.
Naomba kufahamu hao wanawake wa duniani watakapokuwa peponi watakuwa wanafanya mapenzi na waume zao labda? Au watabaki kuwa mapambo tu kama ulivyoeleza?
Umeshapanik yaani ndugu zangu katika imani mpo delicate Sana 😂😂😂 twende kwenye hoja.akili ya kifeminist ndio inayokuharibu.. yaani fantasy au enjoyment ya mwanamume lazima ifanane na ya mwanamke! wakati maumbile yao ni tofauti.
yaani kwa akili yako mwanamke kujiremba sio starehe? kinachokusumbua ni ufeminist
mwanamke kaumbwa kwa ajili ya mwanamume simple and clear!
Nipe aya mkuu au hadith authenticNaam wanawake wa duniani,zawadi mojawapo watayopewa ni kuwa na waume zao huko peponi.
yaani kuambiwa ukweli ndio unasema kupanick? narudia Tena shida ni ufeminist, mwanamke kaumbwa kwa ajili ya mwanamume hiyo ndiyo nature hauwezi kupingana nayoUmeshapanik yaani ndugu zangu katika imani mpo delicate Sana 😂😂😂 twende kwenye hoja.
Enjoyment ya mwanamke ni mwanaume huko kujiremba tunajiremba kwa sababu kuna mwanaume.
Hakuna mwanamke anayejiremba ili alale.
Sasa huko peponi wanajiremba ili iweje?
Yaani huku sisi ndio enjoyment yenu halafu peponi nyie mnapewa vigoli wenye chuchu saa sita 72 . Mwanamke yeye kazi yake kuwa mrembo 😂😂😂😂Yaani mnawaza ngono tu.
Usijifiche kwenye kichaka Cha ufeminist hapa.
Kwa hiyo mkifanya mema duniani huko mbinguni mnazawadia upwiru non stop? Maana kugegeda vimwana 72 si kazi ndogo
Kwako studio!!!!
hadith ama aya zinasema Wanawake mtapewa nini?Ni vyema kufahamu hivyo hatovipata kila aliyekuwa Muislam, bali Muislam swafi mwenye kutenda mema na kufanya ibada kikamilifu.
Mwenye kuzingatia yale yote yaliyokatazwa, sio rahisi Sheikh!
Hapa tu umeshaanza kutamani hizo ahadi, mitihani mingine utaivuka?
Lakini, karibu katika Uislam.
Mimi nimekubaliana na ww mwanamke kaumbwa kwa ajili ya mwanaume ndio maana hata huo urembo tunautafuta kwa kuwa Kuna wanaovutiwa nao yaani wanaume.yaani kuambiwa ukweli ndio unasema kupanick? narudia Tena shida ni ufeminist, mwanamke kaumbwa kwa ajili ya mwanamume hiyo ndiyo nature hauwezi kupingana nayo
Hizi zitakuwa aya za mtu mwingine ILA sio Mungu Baba muumba Mbingu na NchiIla ndugu zangu katika imani mnanishangaza sana aisee,
Allah kakataza uzinzi na ulevi duniani palipojaa maovu ila sehem takatifu peponi karuhusu vyote tena kuna mito ya unywaji na wanawake wa kutosha
Kwenye mafundisho yao ndio wanaelekezwa hivoHizi zitakuwa aya za mtu mwingine ILA sio Mungu Baba muumba Mbingu na Nchi
Na wanawake wa kiislamu watapata nini?Ni vyema kufahamu hivyo hatovipata kila aliyekuwa Muislam, bali Muislam swafi mwenye kutenda mema na kufanya ibada kikamilifu.
Mwenye kuzingatia yale yote yaliyokatazwa, sio rahisi Sheikh!
Hapa tu umeshaanza kutamani hizo ahadi, mitihani mingine utaivuka?
Lakini, karibu katika Uislam.
Sijawahi kusikua wala kuona mwanamke akiwatoroka wazazi wake kwa kuruka ukuta na kwenda kufuata kitu chochote isipokuwa Mkuyenge!.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani waarabu wametupiga na kitu kizito kwa kweli, halafu ukiwabana Sana na hoja hawa ndugu zangu katika imani wanakimbilia kusema unakufuru.
Urembo na Mikuyenge iliyosimama kwelikweli!.Huko hamtapata vibamia,ni full pipe heavy.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wanawake wa kiislamu watapata nini?