Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

Kiranga Niache bwana, mimi ni kati ya walioamini.
Kuamini unaruhusiwa, hiyo ni haki yako ya msingi, ya kikatiba, ni haki ya utu ambayo ipo kwenye Universal Declaration of Human Rights tangu December 10 1948.

Yani ukipatia au kukosea, ukiamini ukweli au uongo, ni haki yako tu.

Na mtu akitaka kukuingilia kwenye hiyo haki yako, nitakutetea.

Imani ina faragha yake.

Ila, jambo likishaletwa JF, a public forum, faragha yote inaondoka.
 
Ndugu zetu waislamu wameahidiwa makubwa pindi watakapofika peponi, na mimi naanza kujitafakari.

View attachment 2860064
View attachment 2860063
mambo ya dini yameelezwa kwa namna ambayo mtu unaona kabisa hapa napigwa kamba ni vitu vya kufikirika sasa mtu anabadilika rangi mara elfu moja anakuaje mtu huyo sio mtu tena huyo ni kiumbe kingine..!
 
Utapeli wa kidini. Yaani wewe na akili Yako timamu unajua mtu akifa anafufuka. Siyo kweli kabisa. Halafu kusema watapewa mabikra 70 ni mawazo ya kimalaya na wakati dini inapinga uzinzi. Je wenye ukimwi na magonjwa mengine ya kuambikiza itakuwaje. Tuwe na critical thinking na siyo kufuata mkumbo tu
Hapa ndo umetumia critical thinking!?..Kuna kuumwa peponi na magonjwabya zinaa!?..unajua hata unachozungumzia!?..huko motoni watu watakua wakibadilishwa ngozi baada ya kuungua Sana ili waendelee kupata maumivu,hawafi...unaona huko Kuna maisha haya ya kuita fire na mseto wa malaria!?..uwe unatafakari au uliza wajuao
 
Propaganda za kidini , sidhani kama kuna uhalisia wa hivyo, ikiwa hio pepo ipo basi ipo nje ya vionjo vya kibinadamu.
Tupende kujifunza binadamu, dini inasema binadamu kuna vitu unakuwa tofauti na ulivyokuwa hapa Duniani yaani kuna vitu umewekewa hapa duniani hili kutimiza dhumuni la kuwepo duniani.

Vitu kama vinyongo, chuki, hasira nk huko peponi vitaondolewa vyote pia ujue vitu kama LIBIDO hamu ya tendo na nguvu za kiume pia zitakuwa juu sio kwa ratio za duniani.

Tatizo ya sisi binadamu tumejawa na chuki za kidini na kutopenda kujifunza na ndio maana vitu ambavyo vizuri tu tunafosi Vionekane kwa sura mbaya sasa kitu kama kufanya mapenzi ni kitu kizuri na kila binadamu anakifurahia iweje kikiahidiwa kupata kesho ambapo ni sehemu ya malipo uone kuna ubaya...WHAT THINKING...kwamba ulitaka uhaidiwe peponi kuna viboko na kupigwa mangumi.

Ushauri wangu tujifunze haya mambo jamani na tuepuke uchochezi wa kidini.
 
Kiranga Niache bwana, mimi ni kati ya walioamini.
Huyo ni mental case,ana ulimbukeni na umagharibi,kaona dini lake halieleweki,mtu huyohuyo Mungu na mwana wa Mungu,Sasa kwenda kuabudu ng'ombe kwa wahindu kashindwa, uislam alishajaziwa chuki na dharau pale mikocheni tangu angali mdogo,ndo kabaki kuwa muhubiri wa kufuru,kila Uzi wa dini hakosi na msitari wake uleule
 
Hapa ndo umetumia critical thinking!?..Kuna kuumwa peponi na magonjwabya zinaa!?..unajua hata unachozungumzia!?..huko motoni watu watakua wakibadilishwa ngozi baada ya kuungua Sana ili waendelee kupata maumivu,hawafi...unaona huko Kuna maisha haya ya kuita fire na mseto wa malaria!?..uwe unatafakari au uliza wajuao
Wewe ndiyo Bure kabisa. Yaani unafuata mkumbo wa kitapeli wa kidini za kitumwa. Je wanyama na viumbe vingine vitakuwa wapi. Je Babu na mabibi zako watakuwa wapi. Ujinga tu. Ukifaa ndiyo mwisho wa Kila kitu. Unapokea maandiko bila kutumia fikira sahihi
 
Hapa ndo umetumia critical thinking!?..Kuna kuumwa peponi na magonjwabya zinaa!?..unajua hata unachozungumzia!?..huko motoni watu watakua wakibadilishwa ngozi baada ya kuungua Sana ili waendelee kupata maumivu,hawafi...unaona huko Kuna maisha haya ya kuita fire na mseto wa malaria!?..uwe unatafakari au uliza wajuao
Yaani jamaa unaongea kana kwamba umetoka jana huko peponi [emoji1787]
 
Utapeli wa kidini. Yaani wewe na akili Yako timamu unajua mtu akifa anafufuka. Siyo kweli kabisa. Halafu kusema watapewa mabikra 70 ni mawazo ya kimalaya na wakati dini inapinga uzinzi. Je wenye ukimwi na magonjwa mengine ya kuambikiza itakuwaje. Tuwe na critical thinking na siyo kufuata mkumbo tu
Mkuu naandika kwa kufunzana, kufanya mapenzi kwa ilivyotakiwa na kuelekezwa ni umalaya mfano nikitaka kuwa na wake wanne na dini inaruhusu ni umalaya, Yes peponi Mungu kakupa mwenyewe wanawake 70 How come unasema umalaya huyohuyo Mungu ndie aliweka miongozo ya mapenzi.

Umalaya ni kwenda kinyune na maagizo, anayeoa wanawake wanna si malaya ila anayefanya mapenzi na mwanamke mmoja just bila ndoa ni malaya....Act zone za kimapenzi ni nzuri na zinaruhusiwa ukienda kinyume ndio unaoata umalaya, uzinzi, zinaa nk.

Kwanini kuwaza kitu kinachoruhusiwa na Mungu ambacho sikinyume ukipe jina la kinyume.

Zaidi pepeni, hakuna changamoto zone za kifunia hizo magonjwa, shida, infections, kunuka jasho nk...tujifunze haya mambo.

NB: tupende kujifunza jamani
 
Back
Top Bottom