Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

Wewe ndiyo Bure kabisa. Yaani unafuata mkumbo wa kitapeli wa kidini za kitumwa. Je wanyama na viumbe vingine vitakuwa wapi. Je Babu na mabibi zako watakuwa wapi. Ujinga tu. Ukifaa ndiyo mwisho wa Kila kitu. Unapokea maandiko bila kutumia fikira sahihi
Kabisa ukifa ndo imeisha hiyo ndo maana mifupa ya Karne ya kwanza inaweza fukuliwa au zinafufuka roho tu miili mipya,,,
Ukifa ni end of story.
 
Hahaha yaani wavaa kobasi ni kama ccm na wananchi wake full kuwadanganya mudi mwenyewe aliulizwa akashindwa kujibu ila mkikuta hizo ahadi mniite mbwa nipo pale
Mkuu, tuanze kwa kujifunza weqe dini gani je dini yako invalidity nini huko munapoamini munaenda baada ya kifo kama malipo ya kuamini na kufuata hio dini??

Naomba nijibu.
 
Tupende kujifunza binadamu, dini inasema binadamu kuna vitu unakuwa tofauti na ulivyokuwa hapa Duniani yaani kuna vitu umewekewa hapa duniani hili kutimiza dhumuni la kuwepo duniani.

Vitu kama vinyongo, chuki, hasira nk huko peponi vitaondolewa vyote pia ujue vitu kama LIBIDO hamu ya tendo na nguvu za kiume pia zitakuwa juu sio kwa ratio za duniani.

Tatizo ya sisi binadamu tumejawa na chuki za kidini na kutopenda kujifunza na ndio maana vitu ambavyo vizuri tu tunafosi Vionekane kwa sura mbaya sasa kitu kama kufanya mapenzi ni kitu kizuri na kila binadamu anakifurahia iweje kikiahidiwa kupata kesho ambapo ni sehemu ya malipo uone kuna ubaya...WHAT THINKING...kwamba ulitaka uhaidiwe peponi kuna viboko na kupigwa mangumi.

Ushauri wangu tujifunze haya mambo jamani na tuepuke uchochezi wa kidini.
Wanawake watapewa Nini kiongozi!?? Au Kazi yaon ni kukamiwa tu huko....
 
Kabisa ukifa ndo imeisha hiyo ndo maana mifupa ya Karne ya kwanza inaweza fukuliwa au zinafufuka roho tu miili mipya,,,
Ukifa ni end of story.
Roho ndiyo nini. Hakuna kitu kitafufuka na kuwa na uhai kama mwanzo. Vitabu vya dini viliandikwa na watu wa mashariki ya mbali na siyo afrika na je waafrika walikuwa wanafuata dini gani. Je kabla ya binadamu kujua kusoma na kuandika walikuwa wanaamini nini. Tuwe na mawazo deep
 
Utapeli wa kidini. Yaani wewe na akili Yako timamu unajua mtu akifa anafufuka. Siyo kweli kabisa. Halafu kusema watapewa mabikra 70 ni mawazo ya kimalaya na wakati dini inapinga uzinzi. Je wenye ukimwi na magonjwa mengine ya kuambikiza itakuwaje. Tuwe na critical thinking na siyo kufuata mkumbo tu
Ukimwi wao unabaki kwenye mwili huku duniani!
 
Wanawake watapewa Nini kiongozi!?? Au Kazi yaon ni kukamiwa tu huko....
Wanawake 70 ni moja tu ya agadir kati ya ahadi nyingi...agadir hii ni katika sector ya mapenzi tu bado kuna ahadi na prize nyingi sana ambazo mwanamke nae atapata hapa kwenye Base ya mapenzi sina eliminate sana Mungu mjuzi anajua zaidi.

Watu wanaopenda uchochezi wa kidini wanapenda sana kutumia hii sehemu ya mabikra 70 kuleta uchochezi kujenga picha kama kitu kibaya bila mantiki yoyote...Swali ni je mapenzi ni kitu kibaya??
 
Ili kitu kiwe na maana lazima kiwe na ukomo.
Unahangaika tu na mabrika milele? Utachoka haraka sana, labda;

Allah atoe utashi wako, uwe kama robot, unachojua ni kuzagamuana tu.

Eleweni muktadha wakuu, 'milele' haina mwisho.
Haya umeandika kwa mwili tuliopewa duniani, peponi hakuna msamiati unaitwa KUCHOKA, misamiati yoote inayowakilisha matatizo na shida pepeni haitakuwepo up uwezo atakupa Mungu mwenyewe...Technically kilasiku utakuwa kama unamwaga bad siku ya kwanza to make it simple.

Pia hakuna ishu ya bakra tu hiko ni kitu kimoja kwenye millioni.
 
Wanawake 70 ni moja tu ya agadir kati ya ahadi nyingi...agadir hii ni katika sector ya mapenzi tu bado kuna ahadi na prize nyingi sana ambazo mwanamke nae atapata hapa kwenye Base ya mapenzi sina eliminate sana Mungu mjuzi anajua zaidi.

Watu wanaopenda uchochezi wa kidini wanapenda sana kutumia hii sehemu ya mabikra 70 kuleta uchochezi kujenga picha kama kitu kibaya bila mantiki yoyote...Swali ni je mapenzi ni kitu kibaya??
Hata duniani mapenzi yapo kama unayo pesa
 
Ni vyema kufahamu hivyo hatovipata kila aliyekuwa Muislam, bali Muislam swafi mwenye kutenda mema na kufanya ibada kikamilifu.
Mwenye kuzingatia yale yote yaliyokatazwa, sio rahisi Sheikh!

Hapa tu umeshaanza kutamani hizo ahadi, mitihani mingine utaivuka?
Lakini, karibu katika Uislam.
Hivi na wadada wa kiislamu ambao watapata fursa ya kuiona pepo wao watapewa zawadi gani itakayowafanya na wao waenjoy?
 
Back
Top Bottom