Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
Sina eliminate na hili ila kama utapewa jambo jema pia.Nasikia tutapewa na vumbi la congo unapiga hata kumi kwa siku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina eliminate na hili ila kama utapewa jambo jema pia.Nasikia tutapewa na vumbi la congo unapiga hata kumi kwa siku.
Peponi ni mwendo wa kutenda yote tuliyokatazwa duniani?Haya umeandika kwa mwili tuliopewa duniani, peponi hakuna msamiati unaitwa KUCHOKA, misamiati yoote inayowakilisha matatizo na shida pepeni haitakuwepo up uwezo atakupa Mungu mwenyewe...Technically kilasiku utakuwa kama unamwaga bad siku ya kwanza to make it simple.
Pia hakuna ishu ya bakra tu hiko ni kitu kimoja kwenye millioni.
hivi wanawaka watapata nini?
Ndugu zetu waislamu wameahidiwa makubwa pindi watakapofika peponi, na mimi naanza kujitafakari.
View attachment 2860064
View attachment 2860063
Hawako salama kivipi
Kwa hiyo mnaenda kufanya uzinzi mbinguni kwa Mungu baba kweli?
Mkuu mambo tunayoletewa dah noma hata ukiangalia ukristo ni ujanja ujanja tu eti mtu unaahidiwa raha ya milele nani kafika akaiona eti peponi kuna raha nani kaziona alafu angalia sasa waasisi wana miyeyusho kuliko sisi wanamapokezi.allah anawapiga kamba.
Kufanya mapenzi na mkeo ni uzinzi, jibu swali kama sio uzinzi nani alifanya isiwe uzinzi ni Mungu ndie alituamrisha tuoe uzinzi ni kufanya mapenzi kinyume na maagizo yake...huyo Mungu yeye ndiye kakupa hao 70....Seems like hatujui maana ya uzinzi au tunatumia vibaya misamiati.Yaani unakufa na kuacha wake zako wanne duniani kisha unaenda kuzawadiwa mabikira 72 wa kunyandua huko peponi, je huo sio uzinzi, na kwa nini utelekeze wake zako waliokuzalia watoto wazuri duniani kisha ukarukie hivyo vi demu 72?
Ni ngumu sana watu wa dini kuielewa hii falsafa.Hii umeandika Viseversa sijui kwanini labda kwasababu tiali duniani tuna matatizo na hatuwezi kuyakimbi ndio maana ukaandika hivi ila kwaakili zangu timamu matatizo siyahitaji na si kitu cha kuki-intertain kama ulivyoandika hapa...kwamba maisha yawe na furaha kwa kupigwa panga za uso, kuumwa na kichwa...THINK AGAIN.
Sina eliminate hapa
Hua spending kuandika monies yanayolenga uchochezi wa kidini, ila pepo ya Walsham imekuwa more TANGIBLE dini yoyote ukimuuliza atakwambia wanapewa mabikra nk nk, vitu vingi vimesemwa ila sijawahi kusikia dini nyingine inanimate details zozote kuhusu wao wanaamini nini baada ya kufa wanaenda wapi.Hivi kwa maana nyingine ni kwamba waislamu na wakristo watakuwa na pepo/mbingu tofauti, I mean kila mmoja atakuwa na mbingu yake special 🤔🤔
Kuna wakati nilipokuwa nasoma madrasatul kwa Sheikh Kipoozeo aliwahi kutwambia kuwa masikini kabisa kule peponi atapewa nguvu za kiume za kuwala na kuwatosheleza wanawake 40 kwa siku. Yaani huyo kwa peponi ndiye atakua Matonya wa nguvu za kiume.Nasikia tutapewa na vumbi la congo unapiga hata kumi kwa siku.
Broo nahic kama unachanganya Mbinguni(heavens) ya kikristo na Peponi(paradise)ya kiislam, au nimekusingizia?? Maana ni vitu viwili tofauti kabisaUmeelezea vizuri mkuu. Hakuna matatizo yeyote mbinguni.
Nami nauliza, bila matatizo, maisha yanakua na thamani yeyote? Kunakua na maana ya kuishi?
Binadamu na maisha yetu hatuna ukamilifu. Ili Allah aweze kukupa hiyo akhera, ni lazima akuondoe utashi wako, ili uwe unawaza mambo machache tu.
Na huyo mkeo naye atapewa wajuba wangapi?..huyo Mungu yeye ndiye kakupa hao 70....
Hata ya kikristo, mpaka uone kusifu milele ni raha lazima uwe mind controlled na Yahweh the narcissist.Broo nahic kama unachanganya Mbinguni(heavens) ya kikristo na Peponi(paradise)ya kiislam, au nimekusingizia?? Maana ni vitu viwili tofauti kabisa
Kuna kitu inability ujue sijui dini yakoNi ngumu sana watu wa dini kuielewa hii falsafa.
Ubaya na uzuri umewekwa Duniani hili kukutahini wewe tu, umeletwa duniani kutahiniwa hili uweze future kwenda huko peponi sasa mtihani uweze kuwa mtihani ndio kuna MABAYA mfano kuchomana visu na kuibiana hii onamaana maisha yangekuwa mazuri tu hakuna ambae angefeli...So origin ya maisha na maisha yenyeqe kwa usually ni mazuri tu mabaya ni IDEAL YA MTIHANI si Default ya maisha yako...utapinga kwasababu unaujuzi wa kuandika ila in default mode hupendi hayo mabaya ni unaji twist tu ndio nikakupa mfano wa ubaya KUPIGWA PANGA LA MGONGO so nje nikupige panga la mgongo hapo kwako iwe furaha, nice nikuibie pesa zako, OK fukuoka kazi....ubaya si wa ku intertain.Maisha ni lazima yawe na mazuri, na mabaya.
Boss kuchoka ni kitu kilichoumbwa na Mungu na wenzie kuumia, kukasirika, kuuzika, kukereka....What you need to know kama nilivyokueleza pale juu hivi vitu negative vyoote vipo duniani tu kukamilisha maisha ya dunia...peponi hakuna kitu kinaitwa kuchoka.Ili usiweze kuyachoka maisha yenye uzuri tu pasi na mwisho, inabidi uwe mkamilifu kama Allah.
Hapa sina elimu, ila sidhani kuwa kuchoka na utashi vina uhusiano.Na ili Allah akubadilishe kiasi hicho, ataondoa utashi wako, hutakua wewe tena utakua kiumbe kingine.