PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Zingatia: MABINT WADOGONdugu zetu waislamu wameahidiwa makubwa pindi watakapofika peponi, na mimi naanza kujitafakari.
View attachment 2860064
View attachment 2860063
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zingatia: MABINT WADOGONdugu zetu waislamu wameahidiwa makubwa pindi watakapofika peponi, na mimi naanza kujitafakari.
View attachment 2860064
View attachment 2860063
KUSIFU MILELE, hii ni adhabu yaani hii ilibidi infantile Dunaini then pepeni ukatumie tu kitu kinaitwa pepo means ni malipo haiitajiki kufanya indada tena nini maana ya malipo sasa....For that sense ndio maana nasemaga uislam dini ambayo ina make sense sana mtu ukitumia akili.Hata ya kikristo, mpaka uone kusifu milele ni raha lazima uwe mind controlled na Yahweh the narcissist.
Hii simu mpya then imesetiwa auto predict word, ukiandika neno inabadili so ukiwa umeandika sana kama nilivyochangia humu inaniwia ngumu kusahihisha maneno Killamara.Huna eliminate (Nini hiki umekazana kikitaja au simu yako mbovu)...Sina eliminate kila ukicomment Sina eliminate..... Eliminate yako hii nayo hauna ni kitu gani au ulitaka kusema hauna ELIMU NAYO ....uangalie na unachopost unaandika vitu havieleweki ndio maana unaulizwa mara Kwa mara....
Ulipwe na nani? Mungu? Ni nani anayemdai Mungu hata atarajie kulipwa naye?KUSIFU MILELE, hii ni adhabu yaani hii ilibidi infantile Dunaini then pepeni ukatumie tu kitu kinaitwa pepo means ni malipo haiitajiki kufanya indada tena nini maana ya malipo sasa....For that sense ndio maana nasemaga uislam dini ambayo ina make sense sana mtu ukitumia akili.
A/Tuna kusifu na kuabudu
B/Kupewa hao mabikwa na kufanya mapenzi tu
Kipi kinaonekana malipo hapo, technically A imekaa MAKING then B ni Spending.
Haya mambo yanaonesha njia kwa mwenye utimamu ila kwa aside timamu ataona negative side na hatofaudika na END FATE.
Pande hizo wanawake sio watuNa wanawake watapata raha gani huko peponi? Nataka kujifunza
YES UPO SAHIHI, si kutenda yoote ila mengi ambayo yalikatazwa duniani peponi ni rehash hapa unahitaji uwe na elimu ya WHY...duniani typo kwaajiri ya myihani neno KUTORUHUSIWA lipo kwwajiri ya mtihani tu na kuna side effects kwa baadhi ya uliyokatazwa ukiyafanya pia.Peponi ni mwendo wa kutenda yote tuliyokatazwa duniani?
Ndio ila itaondosha baadhi ya vitu na kuongezwa baadhi ya vitu mfano vitu vyoote vibaya kama chuki, hasira, kuuzika nk vitatolewaPeponi watu wataenda na miili yao?
Yoote atayopewa mwanaume kama nyumba, milo ya maziwa, bustani nk hapa kwenye upended wa mapenzi ambapo swali lako nahisi lime base SINA ELIMU NAPO.Peponi kutakuwa na wanawake? Wao watapewa nini?
Origin ya maisha ni pepeni, vitu ambavyo vipo peponi Mungu ameviweka duniani kwaasilia chanche...unnamed na uanamke ni kwaajili ya peponi hapa umewekewa kutimiza mtihaniMaana mimi nilidhani uanamke na uanaume ni kwa ajili ya mahitaji ya kidunia!?
Hahaha😂 hapo ndo nilikuwa nataka uje, I was expecting that responseHata ya kikristo, mpaka uone kusifu milele ni raha lazima uwe mind controlled na Yahweh the narcissist.
Naomba nikuulize swali.Ni peponi. Mbinguni kwa Mungu baba hakuna ngono, ni kusifu na kuabudu
Hili nakwambia Killamarsh sina elimu nalo ukiwa na nia ya dhati tafuta jibu lake, sindikiandiki tu nina mipaka.Na huyo mkeo naye atapewa wajuba wangapi?
Nina mashaka na huyo Mungu wenu kwamba hatendi kwa usawa.
Jifunze nini maana ya ngono, asnate.Kuna mafala wanaamini kabisaa kuwa kuna hayo mambo peponi.
Ina maana Huko peponi ni gesti ya watu kufanya ngono? Huyu MUNGU gani anaweza kuruhusu UJINGA kama huu? Hii Imani ni mzigo wa dunia
Napenda sana ukristo wako mkuu.Hahaha😂 hapo ndo nilikuwa nataka uje, I was expecting that response
mshamba_hachekwi nilikwambiaga jifunze kwanza kitu kabla ya kuongea, dini ya kikristo ipo very trick kama unasoma biblia juujuu au kama unasoma ku-prove a certain point.
Mbingu ya kikristo ni sehemu ya kupumzika tuu kwa miaka elfu moja(millennium) baada ya unyakuo.
Revelations 20:1-3
[1]And I saw an angel come down from heaven, having the key of the bottomless pit and a great chain in his hand.
[2]And he laid hold on the dragon, that old serpent, which is the Devil, and Satan, and bound him a thousand years,
[3]And cast him into the bottomless pit, and shut him up, and set a seal upon him, that he should deceive the nations no more, till the thousand years should be fulfilled: and after that he must be loosed a little season.
Then baada ya hilo pumziko la millennium binadamu tunarudi duniani kuishi kama ilivopangwa tokea mwanzo na mungu alipomuumba binadamu(Adam) duniani na sio mbinguni. Kiufupi kila kitu kinarudi kama awali before Adam and Eve sinned.
Hio concept ya kwamba tutaimba na kurukaruka mbinguni for eternity mnaamini watu kama nyie ambao hamsomi maandiko kwa utulivu au mnarukaruka baadhi ya mafungu, usijali mpo wengi wenye hio ideology sio wewe tuu.
Lakini unajua haya mambo ni marahisi sana kuelewa, we jiulize tuu maswali, kwann tuishi mbinguni milele?? Mbinguni ni makazi ya mungu na sio binadamu na ndio maana yesu anasema mtakuwa wageni wangu na sio wenyeji wangu.
Je, kama tutaishi mbinguni milele duniani atabaki nani?? Au itabaki ukiwa tuu milele?? Kama kuishi mbinguni was the main goal, why God created the earth for humans and animals??
mshamba_hachekwi we are going in a circle, tutarudi tulipoanzia.
Out of contextUlipwe na nani? Mungu? Ni nani anayemdai Mungu hata atarajie kulipwa naye?
Kumbe we ni bendera kufuata upepo😂😂🤣Hili nakwambia Killamarsh sina elimu nalo ukiwa na nia ya dhati tafuta jibu lake, sindikiandiki tu nina mipaka.
Sahihi MkuuKumbe we ni bendera kufuata upepo😂😂🤣
Mkuu naomba nikuulize bila kuazisha uchochezi kidiniIsaya 65:17-25
[17]Maana, tazama, mimi naumba mbingu mpya na nchi mpya, na mambo ya kwanza hayatakumbukwa, wala hayataingia moyoni.
[18]Lakini furahini, mkashangilie daima, kwa ajili ya hivi niviumbavyo; maana, tazama, naumba Yerusalemu uwe shangwe, na watu wake wawe furaha.
[19]Nami nitaufurahia Yerusalemu, nitawaonea shangwe watu wangu; sauti ya kulia haitasikiwa ndani yake tena, wala sauti ya kuomboleza.
[20]Hatakuwapo tena mtoto wa siku chache, wala mzee asiyetimia siku zake; kwa maana mtoto atakufa mwenye umri wa miaka mia; bali mtenda dhambi mwenye umri wa miaka mia atalaaniwa.
[21]Nao watajenga nyumba, na kukaa ndani yake; watapanda mizabibu, na kula matunda yake.
[22]Hawatajenga, akakaa mtu mwingine ndani yake; hawatapanda, akala mtu mwingine; maana kama siku za mti ndivyo zitakavyokuwa siku za watu wangu, na wateule wangu wataifurahia kazi ya mikono yao muda wa siku nyingi.
[23]Hawatajitaabisha kwa kazi bure, wala hawatazaa kwa taabu; kwa sababu wao ni wazao wa hao waliobarikiwa na BWANA, na watoto wao pamoja nao.
[24]Na itakuwa ya kwamba, kabla hawajaomba, nitajibu; na wakiwa katika kunena, nitasikia.
[25]Mbwa-mwitu na mwana-kondoo watalisha pamoja, na simba atakula majani kama ng’ombe; na mavumbi yatakuwa chakula cha nyoka. Hawatadhuru wala kuharibu katika mlima wangu mtakatifu wote, asema BWANA.
mshamba_hachekwi tunapata point gani hapo juu??
-watu watajenga nyumba
-watu watapanda miti(kumbuka Adam alikuwa mkulima, ndo kazi aliyopewa na mungu)
-watu watazaa bila uchungu
Haya yote hayawez kufanyika mbinguni, haya yote yatafanyika duniani, yehova sio Allah, he doesn't allow Where We Dare To Talk Openly in his holy residence.
Sahihi Mkuu
Thanks, I use three things;Napenda sana ukristo wako mkuu.
Na kuna ile ulisema hakuna kuchomwa milele, niliipenda sana.
Kwa muktadha wako mimi nachagua kutokuwepo kuliko kumtumikia Mungu. Not existing is just, pure bliss.