Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

Wanawake 70 ni moja tu ya agadir kati ya ahadi nyingi...agadir hii ni katika sector ya mapenzi tu bado kuna ahadi na prize nyingi sana ambazo mwanamke nae atapata hapa kwenye Base ya mapenzi sina eliminate sana Mungu mjuzi anajua zaidi.

Watu wanaopenda uchochezi wa kidini wanapenda sana kutumia hii sehemu ya mabikra 70 kuleta uchochezi kujenga picha kama kitu kibaya bila mantiki yoyote...Swali ni je mapenzi ni kitu kibaya??
Acha maneno mengi...wanawake watapewa nini.... Au wao ni kushonwa tu mwaanzooomwishooooo mwaaaa mwiiii....
 
Ooh kwa hiyo ni wake 70+ mtapewa wadogo wadogo wenye chuchu saa 6? Na wanawake Wenye matendo safi duniani, mbinguni watapewa nini sasa?
Nilitaka hapo tu nafurahi tu umejua maana ya uzinzi na ulilitumia si sehemu sahihi, endless kujifunza.

Kwenye upended wa mwanamke atapewa nini yale yote ambayo atapewa mwanaume ila upended wa mapenzi sina eliminate zaidi.
 
Oh kwenye vitu watapewa wanawake naona wengi hamna elimu kabisa, mmeelimika tu hapo kwenye kupewa mabikra 70 na pombe. Nilitamani kujua kwa upana.
 
Na iwapo kama ni kwenda kufanya mapenzi na wanawake 72 na huoni kama itakuwa ni uchafuu mkubwa Kwa sababu Toka Dunia ianze watu wangapi wamekufa sababu utakuwa unafanya mapenzi na ndugu zako. Tuwe na fikira deep ni hizi dini
Nikuulize swali, kufanya mapenzi na mkeo ni unafanya uchafu??
 
Haya umeandika kwa mwili tuliopewa duniani, peponi hakuna msamiati unaitwa KUCHOKA, misamiati yoote inayowakilisha matatizo na shida pepeni haitakuwepo up uwezo atakupa Mungu mwenyewe...Technically kilasiku utakuwa kama unamwaga bad siku ya kwanza to make it simple.

Pia hakuna ishu ya bakra tu hiko ni kitu kimoja kwenye millioni.
Umeelezea vizuri mkuu. Hakuna matatizo yeyote mbinguni.

Nami nauliza, bila matatizo, maisha yanakua na thamani yeyote? Kunakua na maana ya kuishi?

Binadamu na maisha yetu hatuna ukamilifu. Ili Allah aweze kukupa hiyo akhera, ni lazima akuondoe utashi wako, ili uwe unawaza mambo machache tu.
 
Nimesema sina eliminate na hilo una nia ya kujifunza au kulimbana.
Huna eliminate (Nini hiki umekazana kikitaja au simu yako mbovu)...Sina eliminate kila ukicomment Sina eliminate..... Eliminate yako hii nayo hauna ni kitu gani au ulitaka kusema hauna ELIMU NAYO ....uangalie na unachopost unaandika vitu havieleweki ndio maana unaulizwa mara Kwa mara....
 
Umeelezea vizuri mkuu. Hakuna matatizo yeyote mbinguni.

Nami nauliza, bila matatizo, maisha yanakua na thamani yeyote? Kunakua na maana ya kuishi?
Hii umeandika Viseversa sijui kwanini labda kwasababu tiali duniani tuna matatizo na hatuwezi kuyakimbi ndio maana ukaandika hivi ila kwaakili zangu timamu matatizo siyahitaji na si kitu cha kuki-intertain kama ulivyoandika hapa...kwamba maisha yawe na furaha kwa kupigwa panga za uso, kuumwa na kichwa...THINK AGAIN.
Binadamu na maisha yetu hatuna ukamilifu. Ili Allah aweze kukupa hiyo akhera, ni lazima akuondoe utashi wako, ili uwe unawaza mambo machache tu.
Sina eliminate hapa
 
Back
Top Bottom