Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

Haya umeandika kwa mwili tuliopewa duniani, peponi hakuna msamiati unaitwa KUCHOKA, misamiati yoote inayowakilisha matatizo na shida pepeni haitakuwepo up uwezo atakupa Mungu mwenyewe...Technically kilasiku utakuwa kama unamwaga bad siku ya kwanza to make it simple.

Pia hakuna ishu ya bakra tu hiko ni kitu kimoja kwenye millioni.
Peponi ni mwendo wa kutenda yote tuliyokatazwa duniani?
Peponi watu wataenda na miili yao?
Peponi kutakuwa na wanawake? Wao watapewa nini?
Maana mimi nilidhani uanamke na uanaume ni kwa ajili ya mahitaji ya kidunia!?
 
Hii Ni ishu ya emotions intelligence. Binadamu anakuwa driven by only two things which are pains and pleasure,ukitaka binadamu afanye utakalo Basi mpe ama muahidi Raha ama starehe pia ukitaka afanye Jambo Basi awe anakwepa maumivu ama umpe maumivu atafanya Jambo ili tu asiwe katika hayo maumivu. Sidhani Kama tunahitaji kut000mbana kiasi icho, ishu kubwa inabidi tufuate maagizo ya Muumbaji wetu regardless Kuna mabikra ama utapewa demu anayebadilika rangi kulingana unavyomiwazia awe.
Pia tuyafuate pasipo kufikiria kuwa Kuna Moto unaunguzwa milele unasikia maumivu.
Sema binadamu bila ya kumtishia maumivu hakuelewi. Imagine kusex na dent Ni 30yrs ndani gerezani Ila bado watu hawasikii hata wakiweka kunyongwa bado watu hawatosikia.
Yaani binadamu Ni mgumu mno kusikia
 
allah anawapiga kamba.
Mkuu mambo tunayoletewa dah noma hata ukiangalia ukristo ni ujanja ujanja tu eti mtu unaahidiwa raha ya milele nani kafika akaiona eti peponi kuna raha nani kaziona alafu angalia sasa waasisi wana miyeyusho kuliko sisi wanamapokezi.
 
Yaani unakufa na kuacha wake zako wanne duniani kisha unaenda kuzawadiwa mabikira 72 wa kunyandua huko peponi, je huo sio uzinzi, na kwa nini utelekeze wake zako waliokuzalia watoto wazuri duniani kisha ukarukie hivyo vi demu 72?
Kufanya mapenzi na mkeo ni uzinzi, jibu swali kama sio uzinzi nani alifanya isiwe uzinzi ni Mungu ndie alituamrisha tuoe uzinzi ni kufanya mapenzi kinyume na maagizo yake...huyo Mungu yeye ndiye kakupa hao 70....Seems like hatujui maana ya uzinzi au tunatumia vibaya misamiati.

Kuacha wake zako 4 duniani, inability ujue Duniani na watu woote anakuwanao kwenye maisha wake, wadogo zako, wazazi wapo kwenye kutimiza safari yako tu ya kuelekea kwenye maisha yenyeye, hawa watu watakachokuachia wewe ni vitu viwili SWAWABU na DHAMBI tu hapo itakuwa biashara na wao imeisha.

Nikwambie zaidi sisi Walsham kwetu KUOA ni kutimiza nusu ya dini na tunapata swawabu nyingi sana hivyo tunaoa kukamilisha safari zetu za kufanya ibada nikisahkufa ibada zanu nishafunga.
 
Hii umeandika Viseversa sijui kwanini labda kwasababu tiali duniani tuna matatizo na hatuwezi kuyakimbi ndio maana ukaandika hivi ila kwaakili zangu timamu matatizo siyahitaji na si kitu cha kuki-intertain kama ulivyoandika hapa...kwamba maisha yawe na furaha kwa kupigwa panga za uso, kuumwa na kichwa...THINK AGAIN.

Sina eliminate hapa
Ni ngumu sana watu wa dini kuielewa hii falsafa.

Maisha ni lazima yawe na mazuri, na mabaya.

Ili usiweze kuyachoka maisha yenye uzuri tu pasi na mwisho, inabidi uwe mkamilifu kama Allah.

Na ili Allah akubadilishe kiasi hicho, ataondoa utashi wako, hutakua wewe tena utakua kiumbe kingine.
 
Hivi kwa maana nyingine ni kwamba waislamu na wakristo watakuwa na pepo/mbingu tofauti, I mean kila mmoja atakuwa na mbingu yake special 🤔🤔
Hua spending kuandika monies yanayolenga uchochezi wa kidini, ila pepo ya Walsham imekuwa more TANGIBLE dini yoyote ukimuuliza atakwambia wanapewa mabikra nk nk, vitu vingi vimesemwa ila sijawahi kusikia dini nyingine inanimate details zozote kuhusu wao wanaamini nini baada ya kufa wanaenda wapi.

Kama wewe mkristo naomba nielimkshe mumeahidiwa nini huko
 
Umeelezea vizuri mkuu. Hakuna matatizo yeyote mbinguni.

Nami nauliza, bila matatizo, maisha yanakua na thamani yeyote? Kunakua na maana ya kuishi?

Binadamu na maisha yetu hatuna ukamilifu. Ili Allah aweze kukupa hiyo akhera, ni lazima akuondoe utashi wako, ili uwe unawaza mambo machache tu.
Broo nahic kama unachanganya Mbinguni(heavens) ya kikristo na Peponi(paradise)ya kiislam, au nimekusingizia?? Maana ni vitu viwili tofauti kabisa
 
Ni ngumu sana watu wa dini kuielewa hii falsafa.
Kuna kitu inability ujue sijui dini yako
Maisha ni lazima yawe na mazuri, na mabaya.
Ubaya na uzuri umewekwa Duniani hili kukutahini wewe tu, umeletwa duniani kutahiniwa hili uweze future kwenda huko peponi sasa mtihani uweze kuwa mtihani ndio kuna MABAYA mfano kuchomana visu na kuibiana hii onamaana maisha yangekuwa mazuri tu hakuna ambae angefeli...So origin ya maisha na maisha yenyeqe kwa usually ni mazuri tu mabaya ni IDEAL YA MTIHANI si Default ya maisha yako...utapinga kwasababu unaujuzi wa kuandika ila in default mode hupendi hayo mabaya ni unaji twist tu ndio nikakupa mfano wa ubaya KUPIGWA PANGA LA MGONGO so nje nikupige panga la mgongo hapo kwako iwe furaha, nice nikuibie pesa zako, OK fukuoka kazi....ubaya si wa ku intertain.
Ili usiweze kuyachoka maisha yenye uzuri tu pasi na mwisho, inabidi uwe mkamilifu kama Allah.
Boss kuchoka ni kitu kilichoumbwa na Mungu na wenzie kuumia, kukasirika, kuuzika, kukereka....What you need to know kama nilivyokueleza pale juu hivi vitu negative vyoote vipo duniani tu kukamilisha maisha ya dunia...peponi hakuna kitu kinaitwa kuchoka.
Na ili Allah akubadilishe kiasi hicho, ataondoa utashi wako, hutakua wewe tena utakua kiumbe kingine.
Hapa sina elimu, ila sidhani kuwa kuchoka na utashi vina uhusiano.
 
Back
Top Bottom