Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

Kitu chochote utachoimagine, hata ukifanye kionekane vizuri au vibaya vipo...it's still imagination tu...ndo maana kila mtu ana mbingu na moto wake ..🤣🤣🤣
 
Kama dini unayoifata haiamini katika Kristo Yesu kuwa ndie bwana na mwokozi basi jua ni kazi bure, kimbia huko mapema tena usigeuke nyuma unapoteza muda bure
 
Kuna mda hua tunaenda kwenye haya makanisa na misikiti ili kutoa aibu ya kuzikwa kama ng'ombe kwa wale watakaotuzika

Kiuhalisia siwez acha kuzichakata mbususu za duniani nikizisubili ahadi hewa kama za ccm huko mbeleni

Ulicho nacho ndo chako
 
Ahsante sana sana Kwa maneno ya uzalendo ndani ya bara la Afrika. Unajitambua sana.
 
Una kichaa Cha dini ya kuletwa. Wahi tiba haraka sana
 
Halafu ni kama Mwanamke kwenye hii dini hatambuliki kama mtu. Maana hakuna ahafi yoyote hewa kama hizi au na wao wataoa nyumba ntobo kama wanawake wa kikurya?
 
Mimi nitadili zaidi na hizi Nyapu za hapa Duniani.

Kuna siku nilimpa lifti Binti mmoja wa Kirangi kavaa hijabu tuliongea mambo mengi ya Ahera tukakuta lori la Brewerie limeanguka na kufunga njia ikabidi tulale pale.

Nikaenda kuchukua Bia kadhaa nikaja nazo nikawa nagonga nikamwomba Nyapu akatoa nikamwambia za hapa Duniani ni ndio tamu hizo za kusubiri Kiama sitaki hata kuzusikia.

Akatoa tukapumzika huku tukisikiliza kaswida.

Pombe za Ahera na Nyapu za Ahera nawaachia Watu wanaopenda vya Dezo.
 
Astakhafirullah,

Mkazagamuana huku mnasikiliza Kaswida?
 
Kwa hiyo mnaenda kufanya uzinzi mbinguni kwa Mungu baba kweli?
Hapo ndio nakataa kabisa kuwa Mungu wao na Mungu wa izrael ni Mungu mmoja. Wa kwao asisisitiza ngono ya kufa mtu Mbinguni, yaani Mungu akiwa ANAFANYA doria zake kwenyen mabustani Kila kichaka anakutana na bwana midevu na ma hawara 72 anawashughulikia. ? Huku kwingine tunabiwa hakuna njaa, hakuna kuoa Wala kuolewa
 
Kuambiwa pepeni kutakuwa ABC ndio inahitimisha dini ni stori, hili kitu kisiwe stori inabidi kiweje ungeambiwa peponi ni viboko kwako ndio isingekuwa stori.
Hivyo vitabu vya dini vina contradictions kemkem, nikikuwekea huwezi kuzipangua hapa.

Bisha halafu taja kitabu chako nikuwekee.
 
Kuna mda hua tunaenda kwenye haya makanisa na misikiti ili kutoa aibu ya kuzikwa kama ng'ombe kwa wale watakaotuzika

Kiuhalisia siwez acha kuzichakata mbususu za duniani nikizisubili ahadi hewa kama za ccm huko mbeleni

Ulicho nacho ndo chako
🤣🤣🤣Ahadi za kutungwa au sio
 
Acha maneno mengi...wanawake watapewa nini.... Au wao ni kushonwa tu mwaanzooomwishooooo mwaaaa mwiiii....
Umeisha ambiwa wanawake watakuwa na urembo zaidi ya mrembo yeyote unaemjua hapa duniani!.Mwanamke starehe yake ni urembo,yaani ndiyo kitu anachopenda.
Sasa unataka wapewe nini kingine ili wewe uone kuwa wamepewa kipendwa chao?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…