SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Kitu chochote utachoimagine, hata ukifanye kionekane vizuri au vibaya vipo...it's still imagination tu...ndo maana kila mtu ana mbingu na moto wake ..🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila tujiangalie Isije tukapewa mbusus zenye UTI maana Mudi nae Mwehuu kwe kwel😂😂😂😂Ndugu zetu waislamu wameahidiwa makubwa pindi watakapofika peponi, na mimi naanza kujitafakari.
View attachment 2860064
View attachment 2860063
Lini hiyooMuhammed mwenyewe alisema hajui watu wake wanakwenda wapi?
USSR
Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Bikra 72 wapo ama hawapo huko peponi?Ndugu zetu waislamu wameahidiwa makubwa pindi watakapofika peponi, na mimi naanza kujitafakari.
View attachment 2860064
View attachment 2860063
😂😂🤭Njema 14 kila mmoja
Kama yule bibi Faiza watakuwa wanamgawana
Ahsante sana sana Kwa maneno ya uzalendo ndani ya bara la Afrika. Unajitambua sana.Dini ni ubinafsi mwingine. Yaani wewe uliyeletewa dini miaka ya hivi karibuni na kupewa jina la ughaibuni haya ya waarabu na waebrania unajiona bora kuliko mababu na mabibi zako waliokufa bila kuletewa dini na tamaduni za mashariki ya kati.
Halafu unashupaza shingo kutukana wengine na kujiona unastahili zaidi kwa sababu unaitwa John/Mary na kubeba Biblia au Juma/Faiza na kubebeshwa msaafu wa waarabu.
Mungu mnayemwabudu anawachora tu mnavyojiona bora kuliko binadamu wengine.
Una kichaa Cha dini ya kuletwa. Wahi tiba haraka sanaKwahiyo hapa wewe ndio umefikiria ? Mbona unafikiria kitoto sana na akili yako ni ndogo mno.
Nakuuliza swali la msingi unaweza kuthibitisha ya kuwa huo ni utapeli ? Kwahiyo mtu akifa hafufuki ? Wewe umejuaje na nani amekwambia kwamba mtu akifa hafufuki ?
Hapa ndipo akili yako imeishia, ya peponi yote ni halali, ndio maana yakawa malipo na watapewa na Allah. Sasa wazo la kimalaya linatoka wapi ? Dini imekataza hilo duniani na sio akhera. Akili zenu ndogo sana.
Peponi hakuna hapatakuwa na magonjwa kijana, jaribu I kuwa mnauliza kwanza haya mambo kisha muhoji, sio mnahoji kitoto na kiujuaji juaji wakati hamjui mlolote. Halafu unasema watu wawe na "Critical Thinking".
Hii dini ni ya ajabu sijawahi kuona. Halafu Kuna mtu mwenye akili timamu kweli anafuata mafundisho ya vituko kama hivi?Ndugu zetu waislamu wameahidiwa makubwa pindi watakapofika peponi, na mimi naanza kujitafakari.
View attachment 2860064
View attachment 2860063
Al Qur'an 75: 3-4Utapeli wa kidini. Yaani wewe na akili Yako timamu unajua mtu akifa anafufuka. Siyo kweli kabisa
Mungu ndiyo nani ndugu. Acha upotofuAl Qur'an 75: 3-4
View attachment 2860236
Jiulize kwann Mungu aliamua kutoa mfano wa Fingerprints, usikaze fuvu
Astakhafirullah,Mimi nitadili zaidi na hizi Nyapu za hapa Duniani.
Kuna siku nilimpa lifti Binti mmoja wa Kirangi kavaa hijabu tuliongea mambo mengi ya Ahera tukakuta lori la Brewerie limeanguka na kufunga njia ikabidi tulale pale.
Nikaenda kuchukua Bia kadhaa nikaja nazo nikawa nagonga nikamwomba Nyapu akatoa nikamwambia za hapa Duniani ni ndio tamu hizo za kusubiri Kiama sitaki hata kuzusikia.
Akatoa tukapumzika huku tukisikiliza kaswida.
Aicee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unafikiri the bold atakuacha peponi mkikutana?
Hapo ndio nakataa kabisa kuwa Mungu wao na Mungu wa izrael ni Mungu mmoja. Wa kwao asisisitiza ngono ya kufa mtu Mbinguni, yaani Mungu akiwa ANAFANYA doria zake kwenyen mabustani Kila kichaka anakutana na bwana midevu na ma hawara 72 anawashughulikia. ? Huku kwingine tunabiwa hakuna njaa, hakuna kuoa Wala kuolewaKwa hiyo mnaenda kufanya uzinzi mbinguni kwa Mungu baba kweli?
Hivyo vitabu vya dini vina contradictions kemkem, nikikuwekea huwezi kuzipangua hapa.Kuambiwa pepeni kutakuwa ABC ndio inahitimisha dini ni stori, hili kitu kisiwe stori inabidi kiweje ungeambiwa peponi ni viboko kwako ndio isingekuwa stori.
🤣🤣🤣Ahadi za kutungwa au sioKuna mda hua tunaenda kwenye haya makanisa na misikiti ili kutoa aibu ya kuzikwa kama ng'ombe kwa wale watakaotuzika
Kiuhalisia siwez acha kuzichakata mbususu za duniani nikizisubili ahadi hewa kama za ccm huko mbeleni
Ulicho nacho ndo chako
Umeisha ambiwa wanawake watakuwa na urembo zaidi ya mrembo yeyote unaemjua hapa duniani!.Mwanamke starehe yake ni urembo,yaani ndiyo kitu anachopenda.Acha maneno mengi...wanawake watapewa nini.... Au wao ni kushonwa tu mwaanzooomwishooooo mwaaaa mwiiii....