Kalamu Nzito
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 349
- 805
Kukinai, kuchoka, kuumwa na mambo mengine yoote yaliyo upended wa ubaya hayo yanaishia hapa duniani tu....the kujifunza.
Nyege je? Tunaenda mbinguni na nyege zetu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukinai, kuchoka, kuumwa na mambo mengine yoote yaliyo upended wa ubaya hayo yanaishia hapa duniani tu....the kujifunza.
Kijana ujifunze hata kuandika tu achilia mbali kujenga hoja maana kuna wanawake wengi wamekuzidi upeo kwa mbali sana, hatuwezi kuwaacha hao wote tukakuchagua wewe utuongoze eti kisa tu una uume, leadership is all about brain power not reproductive organsNa wanawake watawaongoza na watawapanda vichwani nyie madwalimu Mungu kamuumba mwanamke kunisaidia mwanaume sio awe kiongozi nyie siku hizi mpaka madhabahuni hedhi zinasimama kuwahubiria nyie mna dini dhaifu Sana mpaka Marais wameshika nchi shetani anajua namba ya kumdondosha mwanaume na Mungu tangu kwa Adam alitoa maekelezo straight kabisa mwanamke ni kwaajili ya nini na tunapata madhambi makubwa kua chini ya wanawake tutalalamika Sana Ila Mungu anaondoa baraka zake hata yeye hakushindwa kuleta mitume wanawake
Angalia Mungu alivo agiza tuishi tumesha kengeuka kuruhusu 50/50 hivyo tujilaani wenyewe wanaume kuruhusu shetani kutuhadaa..Kiongozi wa nchi yako ni mwanaume?
Najua naandika tu kufikisha ujumbe kila kitu hapa sijengi hoja nawambia kumbatieni wanawake nyie ni werevu kuliko Mungu na huko nyuma hakukua na wanawake weerevu kuliko dunia ya leo?. Hata Mtume mmoja mwanamke nitajieKijana ujifunze hata kuandika tu achilia mbali kujenga hoja maana kuna wanawake wengi wamekuzidi upeo kwa mbali sana, hatuwezi kuwaacha hao wote tukakuchagua wewe utuongoze eti kisa tu una uume, leadership is all about brain power not reproductive organs
Au wale bikra 72 wenye macho makubwa,hapa naona ni kaudikteta fulani hivi kwani wote tunapenda macho makubwa?vipi kuhusu wachina yale macho madogo ni adhabu?mambo ya dini yameelezwa kwa namna ambayo mtu unaona kabisa hapa napigwa kamba ni vitu vya kufikirika sasa mtu anabadilika rangi mara elfu moja anakuaje mtu huyo sio mtu tena huyo ni kiumbe kingine..!
Kijana ujifunze hata kuandika tu achilia mbali kujenga hoja maana kuna wanawake wengi wamekuzidi upeo kwa mbali sana, hatuwezi kuwaacha hao wote tukakuchagua wewe utuongoze eti kisa tu una uume, leadership is all about brain power not reproductive organs
hivi imeanfikwa ama ndo nadharia🤣🤣🤣Wanapigwa pipe na mashababi ya peponi
Hakuna atakae mgusa dadaako au mamaako tunagewa kitu mpya ambayo hakijaguswa kabisa na jini Wala binadamu hio imeumbwa peponi na inaishi peponi mpaka muda huu tunaongeaIla Waislam bhana imagine
Bibi FaizaFoxy anapigwa mande usiku kucha, Dada zetu mama zetu wanaenda kupigwa Mande
Tanzania nzima Kuna tibaijuka na Samia kuliko wanaume wote? Na wamefanya nini mpaka sasa?Muuliza anamzidi nini mama Samia ama mama Tibaijuka mpaka yeye tumpe uongozi atuongoze Wa Tanzania
Kuhusu kutokuwa na mitume wa kike zamani unadhani shida ilikuwa ni Mungu au Jamii za kipindi hiko namna zilivyokuwa zinamchukulia mwanamke, wewe unajuaje je kama Mungu alishatuma mitume wa kike ila hakuna aliyewaamini wala kuwatilia maanani sababu tu walikuwa wanawake, kwahiyo Mungu akaona atende sawa sawa na ujinga wao kwa kuwaletea mitume wa kiume tuNajua naandika tu kufikisha ujumbe kila kitu hapa sijengi hoja nawambia kumbatieni wanawake nyie ni werevu kuliko Mungu na huko nyuma hakukua na wanawake weerevu kuliko dunia ya leo?. Hata Mtume mmoja mwanamke nitajie
Vipi na wanaume walioongoza kwa miaka 60 wamefanya Nini mpaka sasaTanzania nzima Kuna tibaijuka na Samia kuliko wanaume wote? Na wamefanya nini mpaka sasa?
Mimi sitakunywa tena mzao huu wa mzabibu hapa ulimwenguni mpaka nitakapo kunywa tena mpya huko Mbinguni!.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu niwajinga Mungu aliekwambia pombe dhambi huku alafu huko akutengenezee mto, uzinzi gani huo na walivyo wajinga wanaongea kabisa hadhari hawa walibidi wafungwe mirembe maana mpaka baba yao shetani anashangaa mateka wake walivyo wajinga
Jia ya kweli na uzima ni moja tunaijua
Jiwe lililokataliwa na waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni
Mpende msipende YESU NI BWANA
Njoo katika wokovu sio kwenda kunywesha vileo na kuabudu masanamu na mashanga mkononi kama mganga wa kienyeji na kunyunyuziwa tumaji na huyo papa sasa sijui maana neno papa kwa kiswahili linamaana nyingi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anyway povu ruska
Tanzania nzima Kuna tibaijuka na Samia kuliko wanaume wote? Na wamefanya nini mpaka sasa?
Kwa hiyo mbiguni wote ni wacheza porn?Hakuna atakae mgusa dadaako au mamaako tunagewa kitu mpya ambayo hakijaguswa kabisa na jini Wala binadamu hio imeumbwa peponi na inaishi peponi mpaka muda huu tunaongea
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila imani hizi!Eti uchochezi[emoji1787][emoji1787]
Lakini Bibiharusi yupo tayari na bwana harusi anamsubiri![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo ndio nakataa kabisa kuwa Mungu wao na Mungu wa izrael ni Mungu mmoja. Wa kwao asisisitiza ngono ya kufa mtu Mbinguni, yaani Mungu akiwa ANAFANYA doria zake kwenyen mabustani Kila kichaka anakutana na bwana midevu na ma hawara 72 anawashughulikia. ? Huku kwingine tunabiwa hakuna njaa, hakuna kuoa Wala kuolewa
Mimi na Samia tuko dini moja na Allah anapima waja wake kwa uchamungu kwahio sijuia level yake ya uchamungu siwezi sema nimemzidi kwani sijui kimatendo ya kiimani Hilo ni la Mungu, tukija kisharia yeye hawezi kusimama kwenye hadhara ya dini ya wanaume wa kiislam akahutubia lazima akae chini Mimi ntasimama kama mwanaume kwakua Hilo daraja Allah ameshatupendelea iko hivyo mpaka kiama.Hapo hujajibu swali. Bali umeuliza swa jipya ?
Nakujibu swali lako jipya kisha na wewe ukajibu swali langu kwamba umemzidi kitu gani Mama Samia ama Mama Tibaijuka ?
Jibu la swali lako Samia ana mchango mkubwa kwa taifa letu wote. Maana ndie anaetuongoza. Ndie anaejenga bwawa la umeme kwa niaba yetu wa Tanzania wote.
Ndie. Ana custody ya kusimamia kila kitu kinachotuhusu wa Tanzania. Huo ni mchango wake ambao unatugusa wote. Sema sasa wewe unamzidi nini ?
[emoji23][emoji23][emoji23] Muhimbili wanafanya upasuaji kuongezea makalio,vipi wewe unaweza kwenda kuongezea?.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aaaah kmk...so we starehe yako ni tungi na ngono ila wanawake urembo tu...ndo maana hawafanyi mapenzi na kunywa pombe bac...[emoji1787]hizi dini zitawafanya vichaa
Iraq haikuwa vita ya kidiniNdio ndugu zako katika imani wamechinja zaidi ya watu 200 siku ya Christmas