Kwa Rais huyu, CCM wana hali mbaya sana!

Majibu ya hapa yapo kwenye wimbo wa "AMKENI"
 
Samia akiacha kuuza nchi kwa waarabu tutamchagua ila kuuza nchi kwa waarabu ndio kaburi lake
Walianza kuandika katiba ya Zanzibar inayosema Zanzibar nchi kamili na sio sehemu ya Tanzania, ameshiriki kikamilifu yeye kutengeneza katika hio, kwa kuwa JK alikuwa dhaif ndio mambo yakawa laini. Kipindi cha Amani Karume ndio hawa Zambarau wote walipenyeza mambo mengi.

 
Chukua kalenda ya JPM alafu weka na ya Samia angalia ipi inanunulika japo marehemu kafa na kazikwa bado anakubalika kwa umma na ana kibali kuliko huyo sa100
 
Genius instead of complain they ask them self how we got here?
 
Ukweli mtupu
 
Umeandika ukweli mtupu Mungu akunusuru na waovu wote
 
Hata kwa JPm kila Jimbo lingeenda upinzani ilaalifanya ubabe tu kiwatangaza wasioshinda. Huyu mama ni WA haki atakayeshinda ndo huyohuyo anatangazwa. Aliyekuwa anawaweka kinguvu bungeni mungu ameamua kumwua ili taifa lipone na wizi ule wa tsunami. Jpm bila polisi hata yeye asingeshinda
 
Hilo sio kweli kwa JPM hapana yule alishinda kiuhalali kabisa na wananchi wengi wa kada za chini ndio waliompigia wala usipindishe ukweli huo.
 
Acha inyeshe tu , kuna bango limeandikwa eti AMEPANDISHA MSHAHARA, nikilionaga nakasirika sana. Unaongeza elfu 8 kwa mtu ambae hajawahi kuongezwa mshahara kwa miaka 7 kweli?
 
Huijui ccm vizuri kaka, muulize lowasa atakuhadithia vizuri
 
Uzi wa kipuuzi sana nashangaa mods wanauchekea. Mama Samia ni kiongozi wako hadi 2030 labda tu mwenyezi Mungu amchukue. Akiwa hai na afya njema atakuwa Rais kwa mujibu wa katiba hadi 2030. Mama anakamilisha miradi yote iliyoachwa na JPM bila kuwaumiza wafanyabiashara wala kumbambikia mwananchi yeyote kesi ya uhujumu il kumvuna hela. Hadi sasa hivi Mama anakubalika mno huko CHADEMA jambo ambalo ni adimu kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…