Kwa Rais huyu, CCM wana hali mbaya sana!

Unaachaje kuwaumiza wafanyabiashara kama mafuta yanapanda bei kila uchwao na hayapatikani nchi nzima?
 

Muda ni mwalimu mzuri sana…
 
Serikali ya Samia ni Serikali ya kifisadi na CCM ni mafisadi hawafai kuwa madarakani
Your browser is not able to display this video.
 

Ukitaka kupata kicheko kwa sababu ya hoja hii piga simu kwa mleta hoja hii!
 
Je polisi wanataasi?

Je watagoma kuwa kinyume chake kama wale wa west Africa?
 
Wanaandaa Mafuso Kubeba Watu Na Kura Za Police Kubeba Sanduku La Kura Za Maruhani
Ccm Na Aibu Yao
 
Nani amekuambia huu UZI ni kati ya CHADEMA na CCM?
 
Wewe utakuwa mzanzibar, mtu wa Ulojo!! Mnadhani uongozi ni bata na kusifiwa tu!!

Tz imeyumba
 
Pascal Mayalla ndugu yangu hapa huwa yeye ana like tuu na huwa hacomment chochote,

ukweli siku zote haupendwi
masikioni mwa watu
 
Acha inyeshe tu , kuna bango limeandikwa eti AMEPANDISHA MSHAHARA, nikilionaga nakasirika sana. Unaongeza elfu 8 kwa mtu ambae hajawahi kuongezwa mshahara kwa miaka 7 kweli?
Unafiki na usanii mwingi! Ni bora awe mkweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…