Kwa Rais huyu, CCM wana hali mbaya sana!


Mkuu, haina tatizo kama unavyosema kuwa mimi sijielewi!

Wewe endelea tu kusoma mada zangu!
 
Ccm haishindi kwa kura wala haitagemei maskini



Yanamwisho hayo na mwisho hauko mbali.

Mwenyezi Mungu ataingilia kati ajuavyo mwenyewe akichoka kuchukizwa na Udhalimu huo.

Tusijuvunie udhalimu tumuogope Mwenyezi Mungu.

Mwenyezi Mungu anapendezwa na haki .
 
DP WORLD ni mchongo wa kina Kinana na Makamba kumvurugia SSH kwa wananchi, na wamefanikiwa ikiwa wataendelea kushupaza shingo!
toa hapa uongo wako kwa hiyo huyo samia wenu hana hata akili ya kufanya maamuzi sahihi......huyu mama hatufai watz wanamuona kwa jicho baya sana la ubaya wanamuombea mabaya yampate daily
 
umeandika ukweli, nimethibitisha leo hapa mwanza. ccm inakufa kifo kibaya sana. wanaoisemea hawana uwezo wowote, wala ushawishi kabsa
 
Umeniacha “njiapanda”! Fafanua zaidi.
Ahaa, leo 30.07.2023 ndiyo nimeona hili la bandiko lako la jana. Ulipotea sana ila tunashukuru wewe ni mzima. Mkuu nadhani sasa unaanza kuona kitu tulichokuwa tunapiga kelele wakati mkiwa ''mnampelekesha'' Magufuli kipambe. Trust me, Samia ni matunda ya mche aliopanda Magufuli. Mimi hili nililiona linakuja japo sikuwa na uhakika. Samia sisi wengine tulishajua uwezo wake tangu akiwa makamu na ndiyo maana tulikuwa tunapigia kelele kuwe na mabadiliko ya mfumo ili tuwe na nchi isiyotegemea utashi wa rais. Haya sasa, it is too late. Kwa hii nchi yetu naona tukisubiri kudra za Mungu na tusiwe na cha kufanya. Unakumbuka Magufuli alishaweka blue print ya kushinda urais? Unajua watanzania walivyo waoga hata wakiibiwa kura? Hili la Samia kuchukiwa nakubaliana na wewe. Mwezi uliopita nilikuwa kijijini nikakuta kina mama waliokuwa CCM damu wanamtukana mno. Hawataki hata kumsikia. Tatizo ni kuwa hata akikataliwa kwa kura, si atafanya kama alivyofundishwa na Magufuli? Mimi naona pamoja na udhaifu wake, bado bado yuko sana.
 
Siku Ya Kufa Nyani, Miti Yote Huteleza
Kwasasa Wameanza Kujitafakari Mmoja Mmoja Wameshapata Yupi Atolewe Bangusiro (Kondoo Wa Kafara)

Kondoo wa kafara hawezi kubadilisha ukweli!
 

Wewe mbona hujalala usiku huu?

Badala ulalu ufikirie namna ya kupunguza umasikini wako unahangaika na maandiko yangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…