Pre GE2025 Kwa Respond hii ya Kariakoo, kuirudisha Serikali ya CCM madarakani itabidi tujitafakari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huna hoja ya maana
 
Hilo si tukio la kwanza ghorofa kuanguka, hata tukio la moto hPo karibu ya Big Bon iliwachukua muda waokozi kufika. Wewe unaona jipya ila sisi tunaona poa tu, limepita salama.
 
Serikali iombe msaada kwa mataifa ya nje yenye uzoefu na vifaa vya uokoaji.
Vinginevyo tutapoteza wengi hapo!
 
Responc
Respond au response mkuu!?
 
Watu wanapinga hili tukio lisiingiliane na siasa how?.

Siasa ndiyo imebeba kila kitu, bila siasa hata hao jeshi la zimamoto hawawezi kuja.

Juzi tu hapo Rais kalipa attention Jeshi la Wananchi likae tayari kwa uchaguzi, nini maana yake?.

Mfumo tulio nao ni madhara ya uongozi unaosimamiwa na chama cha mapinduzi, hatuwezi kutenganisha haya mambo!.

CCM ndiyo yenye mamlaka ya kiserikali, huwezi kumtoa Rais kwenye kiti cha chama!.
 
Tangu CCM ishike madaraka hili ndyo janga kubwa?, you must be a Gen Z Kid!!
 
Hawa ndio Chadema wazee wa trend, hapa kuna janga unaleta siasa basi leta wafanye nini? Majumba yetu yote Tanzania changamoto zilezile. Unaokoa watu hujui kuna watu wangapi chini unakisia tu na hatuna uwezo wa kujuwa jumba lilikuwa na wakazi wangapi tofauti na majengo ya mijini inajulikana watu wangapi na kuna muster point. Hili eneo la kibiashara hujui nani alikuwa ndani ni kazi kubwa. acheni siasa sio sehemu yake. Kazi ya kuokoa ni kazi ya kitaalamu sio siasa.
 
Under ccm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…