Pre GE2025 Kwa Respond hii ya Kariakoo, kuirudisha Serikali ya CCM madarakani itabidi tujitafakari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tatizo sio CCM tatizo ni wananchi wenyewe. kuna ujinga na ushamba, imagine jeshi linakuja kwa kuchelewa, wanatembea kama wanaenda kwenye harusi, kisha wajinga waashangilia et "jeshi, jeshi jeshi" huo ni ujinga zaidi
Elimu, elimu, elimu (Lowassa,2015)
 
Hata nyie chadema mngeandamana ghafra kama ajali response isingekuepo kabisa tatizo mlipinga mdomo sana vitendo sifuri
 
CCM wanalitambua hilo kwa uchaguzi ngazi yoyote huru na haki jamaa hawatoki hata mlisi na ndiyo maana wanahangaika na haka kauchaguzi ka serikali za mitaa wa mbinu zote chafu kufuta aibu.
 
TUMESHAENGUA WAGOMBEA WOTE WA UPINZANI
MTAKE MSITAKE CCM INSHINDA KWA 150%
TUMEENGUA WAGOMBEA WOTE WA UPINZANI
 
Unaleta siasa kwenye mambo ya maafa, maandamano yanaweza kugeuka na kuwa kikundi cha mapinduzi yakapindua serikali. Hivyo basi ni lazima yadhibitiwa mapema kwa nguvu zote, huwezi kufananisha na maafa yanayotokea ghafla bila kupangwa na watu
Maafa hayana interejensia ambayo mnasema jeshi lenu linayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…