Kwa jinsi ilivyo, ukuu wa mikoa na Wilaya, utafika wakati watu wataanza kukataa kuteuliea kwa jinsi wanavyokuwa kwenye hatari ya kutenguliwe muda wowote!
Unateuliwa leo kesho huna kazi, huku ni kudhalilishana! Kwa kuogopa fedheha hizi pamoja na kumpa wakati mgumu mteuaji wao kuwa sijui watakubali au watakataa, na kwa sababu vyeo hivi vipo kisiasa, nashauri waanze kuwa wanachukua fomu za kugombea nafasi hizo, na wananchi tuwapigie kura!