Takemetochurch
Member
- Dec 29, 2024
- 83
- 140
Mimi ni ME late 20s, nimekuwa kwa mahusiano na binti wa kaskazini kwa miaka 3 kasoro.
To cut long story short,
Nampenda sana na nilihope angekuwa wangu wa maisha, niliwekeza my time/everything nilichokuwa nacho kwa huyu binti, nikiamini amenielew kwa hali na mali. Nikiwa na tumaini tutafika wote kw kilele cha mafanikio.
SHIDA iko hapa, nimezaliwa kwenye umaskini (si kigezo) na mpaka sasa sijatusua kimaisha kipato kidgo.
Now, wazazi wa binti HAWANITAKI.
Wamezuia mahusiano kati yangu na binti kw kigezo sina mbele wa nyuma, sina pesa, wanaona nitaharibu maisha ya binti.
Mpenz wangu huyu, umeungana na familia, akidai haoni future na mim tena, ilihali amekuw na mm kipind chote na haikuwah kuwa ishu before.
Nimepigwa pigo la Kimaisha na Kimapenzi pia
*Nimezongwa na maumivu, fedheha. Muda huu siwez kufikiria straight
Tafadhal naombeni ushauri/maoni/suggestions.
Asanteni
MY FEEDBACK
Nashukuru sana wanaJF, nimepata POSITIVE FEEDBACK nyingi.
Si za kunishusha wala kunipamba uongo, BUT zenye kunionyesh reality
Maisha ni safar moja ndefu yeny ups&down, miba na maua. Sometimes tunajifunza vitu the hard way.
Usipofunzwa na mzaz utafunzwa na walimwengu.
Now i feel relieved kuliko nilivyokuw in past days
Positively, asanteni na mbarikiwe sana walimwengu
#HAPPYNEWYEAR 2025