Kwa sababu ya umasikini wangu wazazi wa binti wamenikataa

Joined
Dec 29, 2024
Posts
83
Reaction score
140
Mimi ni ME late 20s, nimekuwa kwa mahusiano na binti wa kaskazini kwa miaka 3 kasoro.

To cut long story short,

Nampenda sana na nilihope angekuwa wangu wa maisha, niliwekeza my time/everything nilichokuwa nacho kwa huyu binti, nikiamini amenielew kwa hali na mali. Nikiwa na tumaini tutafika wote kw kilele cha mafanikio.

SHIDA iko hapa, nimezaliwa kwenye umaskini (si kigezo) na mpaka sasa sijatusua kimaisha kipato kidgo.
Now, wazazi wa binti HAWANITAKI.

Wamezuia mahusiano kati yangu na binti kw kigezo sina mbele wa nyuma, sina pesa, wanaona nitaharibu maisha ya binti.

Mpenz wangu huyu, umeungana na familia, akidai haoni future na mim tena, ilihali amekuw na mm kipind chote na haikuwah kuwa ishu before.

Nimepigwa pigo la Kimaisha na Kimapenzi pia

*Nimezongwa na maumivu, fedheha. Muda huu siwez kufikiria straight

Tafadhal naombeni ushauri/maoni/suggestions.

Asanteni

MY FEEDBACK

Nashukuru sana wanaJF, nimepata POSITIVE FEEDBACK nyingi.
Si za kunishusha wala kunipamba uongo, BUT zenye kunionyesh reality
Maisha ni safar moja ndefu yeny ups&down, miba na maua. Sometimes tunajifunza vitu the hard way.
Usipofunzwa na mzaz utafunzwa na walimwengu.

Now i feel relieved kuliko nilivyokuw in past days

Positively, asanteni na mbarikiwe sana walimwengu

#HAPPYNEWYEAR 2025
 
Mimi ni ME late 20s, nimekuwa kwa mahusiano na binti wa kaskazini kwa miaka 3 kasoro.

To cut long story short,

Nampenda sana na nilihope angekuwa wangu wa maisha, niliwekeza my time/everything nilichokuwa nacho kwa huyu binti, nikiamini amenielew kwa hali na mali. Nikiwa na tumaini tutafika wote kw kilele cha mafanikio.

SHIDA iko hapa, nimezaliwa kwenye umaskini (si kigezo) na mpaka sasa sijatusua kimaisha kipato kidgo.
Now, wazazi wa binti HAWANITAKI.

Wamezuia mahusiano kati yangu na binti kw kigezo sina mbele wa nyuma, sina pesa, wanaona nitaharibu maisha ya binti.

Mpenz wangu huyu, umeungana na familia, akidai haoni future na mim tena, ilihali amekuw na mm kipind chote na haikuwah kuwa ishu before.

Nimepigwa pigo la Kimaisha na Kimapenzi pia

*Nimezongwa na maumivu, fedheha. Muda huu siwez kufikiria straight

Tafadhal naombeni ushauri/maoni/suggestions.

Asanteni
Jitahidi usahau na usonge mbele. Hii ikupe hasira ufight zaidi.

Hiyo ni bonge moja la booster. Na siku ukifanikiwa afahamu. Mungu ni wetu sote.

Kuna demu nilimtokeaga akanitosa, sisemi sana yeye yuko wapi nami niko wapi, ila niamini man Mungu ni wetu sote. Historia hubadilika, tena saana.
 
Mimi ni ME late 20s, nimekuwa kwa mahusiano na binti wa kaskazini kwa miaka 3 kasoro.

To cut long story short,

Nampenda sana na nilihope angekuwa wangu wa maisha, niliwekeza my time/everything nilichokuwa nacho kwa huyu binti, nikiamini amenielew kwa hali na mali. Nikiwa na tumaini tutafika wote kw kilele cha mafanikio.

SHIDA iko hapa, nimezaliwa kwenye umaskini (si kigezo) na mpaka sasa sijatusua kimaisha kipato kidgo.
Now, wazazi wa binti HAWANITAKI.

Wamezuia mahusiano kati yangu na binti kw kigezo sina mbele wa nyuma, sina pesa, wanaona nitaharibu maisha ya binti.

Mpenz wangu huyu, umeungana na familia, akidai haoni future na mim tena, ilihali amekuw na mm kipind chote na haikuwah kuwa ishu before.

Nimepigwa pigo la Kimaisha na Kimapenzi pia

*Nimezongwa na maumivu, fedheha. Muda huu siwez kufikiria straight

Tafadhal naombeni ushauri/maoni/suggestions.

Asanteni
Sure ungemharibia maisha huyo Binti wengi huwa wanawataka kuoa familia za wenye pesa ili wavizie kitonga Cha maisha mkisanukiwa mapema na wanafamilia inakuwa sio bahati yenu
 
Wazazi wengi sana wanageuza watoto kuwa mradi hilo wala lisikuumize sana jambo la msingi tafuta pesa, kuna bwana mkubwa mmoja alikua ni mtangazaji huko nje ya nchi kakaa huko kakutana na warembo wa kila aina lakini hakuwa kufanya ndoa mpaka kaja tanzania ndo kaoa akiwa na miaka mingi tu ndoa haifosiwi ukifosi umeumia mkuu tunafosi ku https://jamii.app/JFUserGuide tu
 
Umri mdogo kuendekeza mapendi, jitafute kwanza, tafuta ela hao wanawake hawajawahi kuisha duniani na utawaacha!! Pambana toka maghetoni gadamiti weweee, acha utegemezi toka, kuzaliwa maskini sio kosa, ila kufa maskini ni kosa kenge wewe....!!
Mwaka unapinduka unawaza wanawake tu na mapenzi, bora hiyo familia wamekukata ndio uongeze mapambano gadamiti!! Hakuna atakayekuheshimu ukiwa maskini tena kijana mdogo kabisa hata 30 hujafika umeanza kulialia, una utoto mwingi sana, ushakuwa mtu mzima acha wenge
 
Mimi ni ME late 20s, nimekuwa kwa mahusiano na binti wa kaskazini kwa miaka 3 kasoro.

To cut long story short,

Nampenda sana na nilihope angekuwa wangu wa maisha, niliwekeza my time/everything nilichokuwa nacho kwa huyu binti, nikiamini amenielew kwa hali na mali. Nikiwa na tumaini tutafika wote kw kilele cha mafanikio.

SHIDA iko hapa, nimezaliwa kwenye umaskini (si kigezo) na mpaka sasa sijatusua kimaisha kipato kidgo.
Now, wazazi wa binti HAWANITAKI.

Wamezuia mahusiano kati yangu na binti kw kigezo sina mbele wa nyuma, sina pesa, wanaona nitaharibu maisha ya binti.

Mpenz wangu huyu, umeungana na familia, akidai haoni future na mim tena, ilihali amekuw na mm kipind chote na haikuwah kuwa ishu before.

Nimepigwa pigo la Kimaisha na Kimapenzi pia

*Nimezongwa na maumivu, fedheha. Muda huu siwez kufikiria straight

Tafadhal naombeni ushauri/maoni/suggestions.

Asanteni
Ndugu

Kuzaliwa maskini siyo dhambi

Dhambi nikufa maskini

Una muda wa kutosha wa kuweza kusaka pesa na kutoka hapo ulipo

Jenga mtaji watu naamini utakaa Sawa

Kila mtu amefika hapo alipo kwa kupita kwenye mikono ya watu

Rai yangu, ukifanikiwa jitahidi kumwunua mtu mmoja Wapo apite kwenye mikono yako

Naamini itakuwa hivyo!

Stressfree#happyNewYear2025

Utakuwa na manzi mkali zaidi ya huyo

Upe muda nafasi!
 
Back
Top Bottom