Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Utekaji, uuaji na ufisadi unaokwamisha maendeleo ya nchi yetu yameifanya tuichukie CCM.
Taifa Stars wapigwe tu
Wapigwe tu
Taifa Stars wapigwe tu
Wapigwe tu
Taifa Star Kwani ni timu ya ccm au ya Tanzania?.Taifa Stars wapigwe tu
AmiiiiinWatoke bila shoot on target hata moja.
NENDA kapime afya ya akiliNigeria 5 Tanzania 0
mimi nataka niweke 50,000 nimuue Starz kwa HandcapNimeweka laki 2 kwa mkeka na nimemuua stars sana.
sasa wewe ni mmoja dhidi ya mamilioni ya watanzania ambao wanaiombea hiyo timu ya ccm mabaya!-NASIMAMA NA TAIFA STARS
-NASIMAMA NA TFF
-NAITAKIA MEMA TIMU YANGU YA TAIFA!
NYIE VIGAGULA MSIOLITAKIA MEMA TAIFA HILO MTAKOMA!
Mpaka sasa sijasikia wakipewa haadi za Mapesa ya Samuya nsona Kimyaana watapigwa kama mbwa koko
Unatoambwa bandani.-NASIMAMA NA TAIFA STARS
-NASIMAMA NA TFF
-NAITAKIA MEMA TIMU YANGU YA TAIFA!
NYIE VIGAGULA MSIOLITAKIA MEMA TAIFA HILO MTAKOMA!