Kwa sababu ya utawala mbaya wa CCM kila atakayefurahi Taifa stars ikifungwa weka comment hapa

Kwa sababu ya utawala mbaya wa CCM kila atakayefurahi Taifa stars ikifungwa weka comment hapa

Mbona hakuna tusi jipya, nendeni mkasomee matusi mrudi upya
Punguza msongo wa mawazo kwa kuwa mmemaliza mlivyopora oct29
Nenda ukawaambie wanao kutuma.
Waambie watanganyika wamechoshwa na Mabo kama.
1.Utekaji.
2.Mauaji.
3.Rushwa.
4. Ufisadi.
5.Uonevu..
6. Katiba Mbovu.
7. Tume mbovu ya Uchaguzi.
8. Umasikini.
9. Ukosefu wa Ajira.
10. Ukosefu wa Huduma Maji, umeme, Barabara,Hospital nk.
 
Back
Top Bottom