KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Hata nikiwa mwenyewe inatosha..sasa wewe ni mmoja dhidi ya mamilioni ya watanzania ambao wanaiombea hiyo timu ya ccm mabaya!
Shda ni nn nyumbu wa kibwetere
Hata nikiwa mwenyewe inatosha..sasa wewe ni mmoja dhidi ya mamilioni ya watanzania ambao wanaiombea hiyo timu ya ccm mabaya!
Mbona hakuna tusi jipya, nendeni mkasomee matusi mrudi upyaUnatoambwa bandani.
sawa sinyorita!Hata nikiwa mwenyewe inatosha..
Shda ni nn nyumbu wa kibwetere
Mpaka sasa sijasikia wakipewa haadi za Mapesa ya Samuya nsona Kimyaa
Ila nyie watuna watapigwa kama mbwa koko
Tayari yameshapigwa! Umbwa haya maccmUtekaji, uuaji na ufisadi unaokwamisha maendeleo ya nchi yetu yameifanya tuichukie CCM.
Taifa Stars wapigwe tu
Wapigwe tu
Nimeamini hili mama halipendwi kabisa! Kuna watoto hapa home nikauliza wanashabikia timu gani? Nimeshangaa wote wanasema hatuna timu!Nawashukuru wanaijeria kwa ushindi huu japo ni mwembamba ila umetosha kunipa furaha. Pumbavu taifa stars mfungwe na mfungwe tena vima nyinyi
Safi sana umelea vyema mkuu. Nashukuru hata mie watoto wangu elimu imewafikia hawaungi mkono serikali hii na mambo yakeNimeamini hili mama halipendwi kabisa! Kuna watoto hapa home nikauliza wanashabikia timu gani? Nimeshangaa wote wanasema hatuna timu!
Ya CCM(ya Samia).Taifa Star Kwani ni timu ya ccm au ya Tanzania?.
Samuya anapelekewa moto hadi na vitoto vya darasa la Pili B! Kazi anayo, hakika amekataliwa duniani hadi mbinguni!Safi sana umelea vyema mkuu. Nashukuru hata mie watoto wangu elimu imewafikia hawaungi mkono serikali hii na mambo yake
Unahangaika bure kuichukua nchi yakoUtekaji, uuaji na ufisadi unaokwamisha maendeleo ya nchi yetu yameifanya tuichukie CCM.
Taifa Stars wapigwe tu
Wapigwe tu
CCM au nchi yangu?Unahangaika bure kuichukua nchi yako
DahSamuya anapelekewa moto hadi na vitoto vya darasa la Pili B! Kazi anayo, hakika amekataliwa duniani hadi mbinguni!
Nimefurahi sana,mana wakifunga utasikia eti mama samuya kawezesha,wanatutambia ujinga.Utekaji, uuaji na ufisadi unaokwamisha maendeleo ya nchi yetu yameifanya tuichukie CCM.
Taifa Stars wapigwe tu
Wapigwe tu