Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Taifa Star Kwani ni timu ya ccm au ya Tanzania?.Taifa Stars wapigwe tu
AmiiiiinWatoke bila shoot on target hata moja.
NENDA kapime afya ya akiliNigeria 5 Tanzania 0
mimi nataka niweke 50,000 nimuue Starz kwa HandcapNimeweka laki 2 kwa mkeka na nimemuua stars sana.
sasa wewe ni mmoja dhidi ya mamilioni ya watanzania ambao wanaiombea hiyo timu ya ccm mabaya!-NASIMAMA NA TAIFA STARS
-NASIMAMA NA TFF
-NAITAKIA MEMA TIMU YANGU YA TAIFA!
NYIE VIGAGULA MSIOLITAKIA MEMA TAIFA HILO MTAKOMA!
Mpaka sasa sijasikia wakipewa haadi za Mapesa ya Samuya nsona Kimyaana watapigwa kama mbwa koko
Unatoambwa bandani.-NASIMAMA NA TAIFA STARS
-NASIMAMA NA TFF
-NAITAKIA MEMA TIMU YANGU YA TAIFA!
NYIE VIGAGULA MSIOLITAKIA MEMA TAIFA HILO MTAKOMA!