M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 2,268 Reaction score 7,119 Dec 24, 2025 Thread starter #41 jiwe angavu said: Nimefurahi sana,mana wakifunga utasikia eti mama samuya kawezesha,wanatutambia ujinga. Click to expand... Who is mama Samuya?
jiwe angavu said: Nimefurahi sana,mana wakifunga utasikia eti mama samuya kawezesha,wanatutambia ujinga. Click to expand... Who is mama Samuya?
Wakipekee JF-Expert Member Joined Aug 21, 2019 Posts 6,534 Reaction score 11,445 Dec 24, 2025 #42 Muuza Kangala said: Who is mama Samuya? Click to expand... Malaya mmoja huko Malawi
Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 6,978 Reaction score 12,641 Dec 24, 2025 #43 Wapigwe kama ngoma za daku
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 12,134 Reaction score 27,519 Dec 25, 2025 #44 KERATO MOMBAA said: Mbona hakuna tusi jipya, nendeni mkasomee matusi mrudi upya Punguza msongo wa mawazo kwa kuwa mmemaliza mlivyopora oct29 Click to expand... Nenda ukawaambie wanao kutuma. Waambie watanganyika wamechoshwa na Mabo kama. 1.Utekaji. 2.Mauaji. 3.Rushwa. 4. Ufisadi. 5.Uonevu.. 6. Katiba Mbovu. 7. Tume mbovu ya Uchaguzi. 8. Umasikini. 9. Ukosefu wa Ajira. 10. Ukosefu wa Huduma Maji, umeme, Barabara,Hospital nk.
KERATO MOMBAA said: Mbona hakuna tusi jipya, nendeni mkasomee matusi mrudi upya Punguza msongo wa mawazo kwa kuwa mmemaliza mlivyopora oct29 Click to expand... Nenda ukawaambie wanao kutuma. Waambie watanganyika wamechoshwa na Mabo kama. 1.Utekaji. 2.Mauaji. 3.Rushwa. 4. Ufisadi. 5.Uonevu.. 6. Katiba Mbovu. 7. Tume mbovu ya Uchaguzi. 8. Umasikini. 9. Ukosefu wa Ajira. 10. Ukosefu wa Huduma Maji, umeme, Barabara,Hospital nk.