Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Kwa sasa nimewaelewa sana watu wanaomlaumu Mabeyo.Mabeyo na genge lako mnaona sasa tamaa za matumbo mlipofikisha hii nchi? Wewe ni mkatoliki utaingia moyoni kwa kulisukuma taifa kwa mikono ya shetani
Humu ukiweka moderstors wakipigwa biti wanaiondoa.Kwani huu sio mtandao wa kijamii
Bila VPN huwezi ku accessTafuta hela hyo mitandao yote mbona inafanya kazi vizuri tu
Mabeyo alitukatili saanaKwa sasa nimewaelewa sana watu wanaomlaumu Mabeyo.
Tuombe sana Watokee Wazalendo JWTZ wafanikishe hili. Hii nchi inaliwa kwa kiwango cha kutisha na hawa elites wa CCM.
Na Lugumi karudi jikoni kwa kasi anakula na mtoto wa RaisWatu wanaomba 15b ya 'kazi maalum'
mbona tunaingia huko x 😃, au simu tatizoBila VPN huwezi ku access
Huu ni Mtandao wa FamiliaKwani huu sio mtandao wa kijamii
Ila mabeyo sijui mwanaume gqni unakuwa muoga vileMabeyo na genge lako mnaona sasa tamaa za matumbo mlipofikisha hii nchi? Wewe ni mkatoliki utaingia moyoni kwa kulisukuma taifa kwa mikono ya shetani
Kwa sasa nimewaelewa sana watu wanaomlaumu Mabeyo.
Tuombe sana Watokee Wazalendo JWTZ wafanikishe hili. Hii nchi inaliwa kwa kiwango cha kutisha na hawa elites wa CCM.
Wakina Bashiru walikuwa wameshaweka mipango sawa,mabeyo akajifanya anaijua katiba sanaMabeyo alitukatili saana
Wewe ni muongo watanzania wanaangalia taarifa za habari kupitia mitandao ya kijamii bila wasiwasiHali si Hali nchini Tanzania.
Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X.
Hali hii imeanza kujitokeza leo baada ya Mtanzania aishiye Marekani Mange Kimambi kuanza kuweka hadharani ushahidi wa kutisha namna Rais wa Tanzania na watu wake wa karibu wanavyolifisadi Taifa.
Inaelezwa kuwa, tangu Serikali hii kuingia madarakani kuna madili makubwa sana yanafanyacna Familia ya Rais Samia na watu wachache wanaomzunguka.
Inaweza wakasema wanafanya hayo kwa sababu ya shambolic ya Akaunti za Serikali na Taasisi zake ila inaelezwa kuwa ukweli ni kwamba wanafungia Mitandao ya Kijamii kuwazuia Watanzania wasione nyaraka zinazorushwa zinavyoonesha Nchi inavyotafunwa na watu wachache.
Alafu saivi anaisigina Katiba hiyo hiyo kwa kuwaibia WatanzaniaWakina Bashiru walikuwa wameshaweka mipango sawa,mabeyo akajifanya anaijua katiba sana
Mboni mimi bila VPN napenyaInaweza wakasema wanafanya hayo kwa sababu ya shambolic ya Akaunti za Serikali na Taasisi zake ila inaelezwa kuwa ukweli ni kwamba wanafungia Mitandao ya Kijamii kuwazuia Watanzania wasione nyaraka zinazorushwa zinavyoonesha Nchi inavyotafunwa na watu wachache.