Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X

Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X

Kuna watu wachache sana wanaoifaidi hii nchi, we check tu propaganda za mchongo kumsifu mama...na anavyopenda sifa za kijinga sasa!!.
 
Mtandao wa X(Zamani "Tweeter") haufanyi kazi kwangu tu au kwa Watanzania wote?
 
Mtandao wa X(Zamani "Tweeter") haufanyi kazi kwangu tu au kwa Watanzania wote?
Kwa wote mpaka VPN tufanyeje sasa wakubwa wameamua???
Utawasikia!
Wabariki viongozi wetu....... hata wezi wa kura nao wabarikiwe???
 
Back
Top Bottom